FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Daa, R.I.P JPM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji848] Hilo nalo neno!Tukasome kwa kingereza halafu tuje kuongoza kwa uswahili mwingi...
Non sense
Ni chuo cha chama/vyamaSifa za kujiunga na chuo ni kuwa CCM kindaki ndaki full stop! Hizo one zenu za 7 pelekeni Mzumbe. Daadeki!
Atapewa pindi siku akija jiwe mwingine. Wenye nafasi ya kupewa pindi hapo kwa sasa ni Jumbe Brown Stuxnet Lord denning CM 1774858 et alSasa shule ya uongozi ya bwana Polepole itakuwaje? Au atapewa pindi pale awe anabwatuka?
Kanuni za kuongoza watu hazibadiliki bila kujali lugha gani umesoma
Chuo cha uongozi cha Mwalimu Nyerere kilichopo Kibaha mkoani Pwani kilianzishwa kuhudumu kwenye nchi za kusini mwa Afrika na kupewa jina la Mwalimu Nyerere kama heshima ya kuongoza mapambano ya kutafuta uhuru kusini mwa Afrika.
Chuo cha Mwalimu Nyerere ni juhudi ya pamoja kwa vyama sita vya ukombozi kusini mwa Afrika ambavyo kwa sasa ni vyama tawala ambapo nchi zao kupata uhuru ulisaidiwa na Nyerere pamoja na OAU ambavyo vilipewa hifadhi nchi Tanzania.
Vyama hivyo ni Chama Cha Mapinduzi (CCM), African National Congress (ANC) cha Afrika Kusini, People’s Movement for the Liberation of Angola (MPLA) na South West African People’s Organisation (SWAPO) cha Namibia, Zimbabwe African National Union–Patriotic Front (ZANU-PF) na Mozambique Liberation Front (FRELIMO)
View attachment 2124259
View attachment 2124260View attachment 2124261View attachment 2124262View attachment 2124264View attachment 2124265View attachment 2124266View attachment 2124267
The Mwalimu Nyerere Leadership School is being established in Tanzania to serve southern Africa in honour of the late founding President and former chairperson of the Frontline States.
The leadership college is a joint effort of six liberation movements from the Southern African Development Community (SADC), who are now governing parties, and whose countries gained independence with the support of Nyerere and the Organisation of African Unity (OAU) Liberation Committee that was hosted by the United Republic of Tanzania.
The six liberation movement parties are Tanzania`s Chama Cha Mapinduzi (CCM), African National Congress (ANC) of South Africa, the People’s Movement for the Liberation of Angola (MPLA), and the South West African People’s Organisation (SWAPO) of Namibia, the Zimbabwe African National Union–Patriotic Front (ZANU-PF) and the Mozambique Liberation Front (FRELIMO).
A colourful ground-breaking ceremony for the construction of the school was held in Kibaha, Coastal Region, near Dar es Salaam in 2018. The parties were represented at the function by their respective secretaries-general who took up shovels to prepare the ground.
They will work together to establish the Mwalimu Nyerere Leadership School, with support from China. The government of Tanzania provided the land.
View attachment 2124682
Jiwe la msingi-July 2018
Kibaha IPI?Kipo Kibaha.🤫
🤣🤣🤣Atapewa pindi siku akija jiwe mwingine. Wenye nafasi ya kupewa pindi hapo kwa sasa ni Jumbe Brown Stuxnet Lord denning CM 1774858 et al
Kwanini isiwe wewe Bwana Yoda ?Atapewa pindi siku akija jiwe mwingine. Wenye nafasi ya kupewa pindi hapo kwa sasa ni Jumbe Brown Stuxnet Lord denning CM 1774858 et al
IPO siku kitakuwa chuo Cha serikali tuChuo cha uongozi cha Mwalimu Nyerere kilichopo Kibaha mkoani Pwani kilianzishwa kuhudumu kwenye nchi za kusini mwa Afrika na kupewa jina la Mwalimu Nyerere kama heshima ya kuongoza mapambano ya kutafuta uhuru kusini mwa Afrika.
Chuo cha Mwalimu Nyerere ni juhudi ya pamoja kwa vyama sita vya ukombozi kusini mwa Afrika ambavyo kwa sasa ni vyama tawala ambapo nchi zao kupata uhuru ulisaidiwa na Nyerere pamoja na OAU ambavyo vilipewa hifadhi nchi Tanzania.
Vyama hivyo ni Chama Cha Mapinduzi (CCM), African National Congress (ANC) cha Afrika Kusini, People’s Movement for the Liberation of Angola (MPLA) na South West African People’s Organisation (SWAPO) cha Namibia, Zimbabwe African National Union–Patriotic Front (ZANU-PF) na Mozambique Liberation Front (FRELIMO)
View attachment 2124259
View attachment 2124260View attachment 2124261View attachment 2124262View attachment 2124264View attachment 2124265View attachment 2124266View attachment 2124267
The Mwalimu Nyerere Leadership School is being established in Tanzania to serve southern Africa in honour of the late founding President and former chairperson of the Frontline States.
The leadership college is a joint effort of six liberation movements from the Southern African Development Community (SADC), who are now governing parties, and whose countries gained independence with the support of Nyerere and the Organisation of African Unity (OAU) Liberation Committee that was hosted by the United Republic of Tanzania.
The six liberation movement parties are Tanzania`s Chama Cha Mapinduzi (CCM), African National Congress (ANC) of South Africa, the People’s Movement for the Liberation of Angola (MPLA), and the South West African People’s Organisation (SWAPO) of Namibia, the Zimbabwe African National Union–Patriotic Front (ZANU-PF) and the Mozambique Liberation Front (FRELIMO).
A colourful ground-breaking ceremony for the construction of the school was held in Kibaha, Coastal Region, near Dar es Salaam in 2018. The parties were represented at the function by their respective secretaries-general who took up shovels to prepare the ground.
They will work together to establish the Mwalimu Nyerere Leadership School, with support from China. The government of Tanzania provided the land.
View attachment 2124682
Jiwe la msingi-July 2018
Kinapaswa kuitwa chuo cha Taifa cha uongozi na sio cha CCM, Maana wakati wa kudai uhuru iwe Tz au nchi zingine wananchi wote waliunganisha nguvu kwa pamoja, hapakuwa na vyama vya upinzani hivyo chuo hicho ni zao la wananchi wote hata kama kimejengwa na serikali ya CCM!Chuo cha uongozi cha Mwalimu Nyerere kilichopo Kibaha mkoani Pwani kilianzishwa kuhudumu kwenye nchi za kusini mwa Afrika na kupewa jina la Mwalimu Nyerere kama heshima ya kuongoza mapambano ya kutafuta uhuru kusini mwa Afrika.
Chuo cha Mwalimu Nyerere ni juhudi ya pamoja kwa vyama sita vya ukombozi kusini mwa Afrika ambavyo kwa sasa ni vyama tawala ambapo nchi zao kupata uhuru ulisaidiwa na Nyerere pamoja na OAU ambavyo vilipewa hifadhi nchi Tanzania.
Vyama hivyo ni Chama Cha Mapinduzi (CCM), African National Congress (ANC) cha Afrika Kusini, People’s Movement for the Liberation of Angola (MPLA) na South West African People’s Organisation (SWAPO) cha Namibia, Zimbabwe African National Union–Patriotic Front (ZANU-PF) na Mozambique Liberation Front (FRELIMO)
View attachment 2124259
View attachment 2124260View attachment 2124261View attachment 2124262View attachment 2124264View attachment 2124265View attachment 2124266View attachment 2124267
The Mwalimu Nyerere Leadership School is being established in Tanzania to serve southern Africa in honour of the late founding President and former chairperson of the Frontline States.
The leadership college is a joint effort of six liberation movements from the Southern African Development Community (SADC), who are now governing parties, and whose countries gained independence with the support of Nyerere and the Organisation of African Unity (OAU) Liberation Committee that was hosted by the United Republic of Tanzania.
The six liberation movement parties are Tanzania`s Chama Cha Mapinduzi (CCM), African National Congress (ANC) of South Africa, the People’s Movement for the Liberation of Angola (MPLA), and the South West African People’s Organisation (SWAPO) of Namibia, the Zimbabwe African National Union–Patriotic Front (ZANU-PF) and the Mozambique Liberation Front (FRELIMO).
A colourful ground-breaking ceremony for the construction of the school was held in Kibaha, Coastal Region, near Dar es Salaam in 2018. The parties were represented at the function by their respective secretaries-general who took up shovels to prepare the ground.
They will work together to establish the Mwalimu Nyerere Leadership School, with support from China. The government of Tanzania provided the land.
View attachment 2124682
Jiwe la msingi-July 2018
Makamanda uchwara mmeshaanza wivu.Kinapaswa kuitwa chuo cha Taifa cha uongozi na sio cha CCM, Maana wakati wa kudai uhuru iwe Tz au nchi zingine wananchi wote waliunganisha nguvu kwa pamoja, hapakuwa na vyama vya upinzani hivyo chuo hicho ni zao la wananchi wote hata kama kimejengwa na serikali ya CCM!
Hakuna wivu palipo dhuluma lazima tuelezane ukweli!Makamanda uchwara mmeshaanza wivu.
Tukiite chuo cha ufipa basi turidhishane.Hakuna wivu palipo dhuluma lazima tuelezane ukweli!