Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 7,185
- 24,330
😂😂 pole sana st kayumba girlyaani mazingira yanavutia kuwa serious na kile kimekupeleka shule, siyo kule kwetu baada ya kula mihogo yako ya Mama Pili na kachumbari zilizojaa maji kitu pekee unatamani kufanya ni kusinzia..!😂😂