PICHA: Chuo cha Uongozi cha Mwalimu Julius Nyerere kilichojengwa Kibaha, Pwani

PICHA: Chuo cha Uongozi cha Mwalimu Julius Nyerere kilichojengwa Kibaha, Pwani

yaani mazingira yanavutia kuwa serious na kile kimekupeleka shule, siyo kule kwetu baada ya kula mihogo yako ya Mama Pili na kachumbari zilizojaa maji kitu pekee unatamani kufanya ni kusinzia..!😂😂
😂😂 pole sana st kayumba girl
 
Nina hamu ya kurudi shule.. Wana kozi gani hapo?
Hicho ni chuo Cha CCM.
Tegemea kozi zile tulizopitia enzi zile tunasotea kadi ya CCM.
Kumbuka zamani hupati kadi ya CCM Hadi ukaisomee na kujazwa ujinga kichwani.
 
Sasa shule ya uongozi ya bwana Polepole itakuwaje? Au atapewa pindi pale awe anabwatuka?
 
tukasome kwa kingereza halafu tuje kuongoza kwa uswahili mwingi...

non sense

Wewe mbona Id yako ya kiingereza halafu hapa umecomment Kiswahili? Au ndio huo uswahili mwingi changanya na non sense…!?
 
Bila Comrade Polepole kuwa mdhamini ama mkuu wa chuo hicho, hakuna uhalali wa kuendelea na mradi-hewa kama huo.

cc: Sisiemu na Bi Mikopo
 
^To learn history properly is to overcome all primitive evils of imperialism and racialism^ ~ JKN.

Joe Biden & Boris J. wakiona nukuu hiyo hapo chuoni wanafyonya hadi usiku wa manane!
 
Hiki pia tunajengewa na ndugu zetu wa damu kutoka China?
 
Hicho ni chuo maalum kwaajili ya kukutoa akili za kawaida na kukuweka mashudu ya kiccm
 
Comments za humu ndani zimenifurahisha, ngoja niendelee kuwa msomaji.
 
Back
Top Bottom