PICHA: Chuo cha Uongozi cha Mwalimu Julius Nyerere kilichojengwa Kibaha, Pwani

Sio kweli, Uongozi unaofundishwa na Wakumunisti wa China ni tofauti sana na ule unaofundishwa Harvad Kennedy School.
Kanuni za kuongoza watu hazibadiliki bila kujali lugha gani umesoma
 
  1. Kimejengwa kwenye eneo dogo sana
  2. Ingependeza sana jina Kambarage lingekuwa included, japo kuna mjinga alisema ni gumu wazungu hawawezi kulitamka
 
Ehee hicho chuo sio mchezo.
Uongo dhambi.
Madarasa Kama ofisi[emoji44][emoji44]
 
Naona yule mwalimu wa kujitolea wa shule ya uongozi aliyepigwa ban na tcra anaweza kupata pande la kufundishašŸ˜€šŸ˜€šŸ˜€
 
Chadema wataruhusiwa kukodi ukumbi km mlimani city?!!!!!
 
IPO siku kitakuwa chuo Cha serikali tu
 
Kinapaswa kuitwa chuo cha Taifa cha uongozi na sio cha CCM, Maana wakati wa kudai uhuru iwe Tz au nchi zingine wananchi wote waliunganisha nguvu kwa pamoja, hapakuwa na vyama vya upinzani hivyo chuo hicho ni zao la wananchi wote hata kama kimejengwa na serikali ya CCM!
 
Makamanda uchwara mmeshaanza wivu.
 
Binafsi ningependa sana kujiunga na chuo hiki sijui taratibu zipo vipi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…