Picha: Dar es Salaam waonesha uhalisia suala la bandari nchini. Viongozi wajitafakari sana

Pga na picha mkutano wa chongolo leo kigoma na kanjanja mwezake jelly slaa...
 
Hii dunia ina wajinga wengi sana hvi mungu kwanini usikifutilie mbali kizazi hiki cha ovyo

Sisi tnataka mkataba uwe wazi hatujakata mambo mengne hayo
 
Nakwambia, hii rasharasha tu, hata kazi za DP-WORLD hazijaanza rasmi, vitu vya "polomosheni" siku hizi havionekani mitaani kwetu.
Promotion imesitishwa kwa sababu waliokuwa wakwepesha vitu bandarini na kuja kuvifanyia promotion mitaani hawajui hatma yao ya kesho au keshokutwa.
 
Hahaha, mjukuu wangu siku moja kanizushia ugomvi alipoamka. Anasema kapewa minoti na mama'ke imejaa mifuko yote, nimrudishie.

Nimelipa deni wiki nzima, kila siku buku.
Ndoto ni noma aisee. Mtu analala anaota yupo mtoni anatengeneza madola, akija kushtuka anajikuta amelala barazani kwa shemeji yake hahahaha.....
 
Hivi hata kama unaishi kijijini ndo picha niliyokuwekea pia hauioni.

Ukweli ni kwamba watanzania wengi tupo upande wa serikali na tunaunga mkono uwekezaji, ndio maana wale wanaopinga mkutano wao umedoda maana hawana jipya wanalazimisha tu kupitia mitandaoni ili kuwaokota wachache kama wewe.
 
Hoja zenyewe kama ndio hizi nani ana haja ya kusikiliza
Nimemsikiliza Mwenyekiti wa Chama/Muandaaji wa Mkutano kwa ajili ya kuto elimu ya Mkataba wa Bandari toka mwanzo hadi mwisho sijasikia akisoma au kueleza kifungu kibovu cha mkataba zaidi ya salamu hii kwa watanzania,
Your browser is not able to display this video.
 
Kuna mtu amenambia DP World wakishaanza kazi wataleta vichwa vya trucks (tractor) 300 na trailers 1,000 na kuwako pesha transporters wadogo wadogo bila riba ili mizigo yao ifike kwa wateja wao kwa wakati.

Hii ni fursa kubwa sana.
Mtu kakuambia?.... 🙂
 
Wewe waonyesha ni msomi wa hali ya juu.Unatuelezea,na kukuelewa ki urahisi sana.Mengi ilikuwa siyajui,lakini nimeyajua kupitia uzi huu wako.
Ubarikiwe mkuu, haya mambo kama wenye akili tukiacha kuja kueleza ukweli humu mitandaoni, basi kuna uwezekano wa wanasiasa uchwara kutumia ukimya wetu kusambaza sumu za propaganda zao kwa faida zao na watoto wao.
 
Mnahitaji bandari??

Unahitaji vipi kitu ambacho unacho? Je Malawi, Zambia au Rwanda ambao hawana bandari nao wasemaje?
Ndio maana yake. Kwanini aje "Wakuja" agawe kwa Wajomba? Hao Malawi Zambia na Rwanda Na uhakika kwa pamoja wako tayari kuchangishana kusimamia na kuendesha Bandari kwa kumtumia Mwafrika mwenzake na sio Mwarabu, wanajua Mwarabu kuushika mwambao ni hatari kwa usalama wa mataifa yao.
 
Hii dunia ina wajinga wengi sana hvi mungu kwanini usikifutilie mbali kizazi hiki cha ovyo

Sisi tnataka mkataba uwe wazi hatujakata mambo mengne hayo
Nina uhakika mtoto wa Lisu huko ulaya akisoma post za aina hii huwa anacheka sana kwa jinsi baba yake alivyofanikiwa kuzitawala na kuzimiliki akili za watoto wa wenzake.

Wewe unamhusisha Mungu na kutamani kizazi kiangamizwe huku mtoto wa Lisu akiendelea kuomba wajinga muongezeke ili baba yake aendelee kuwatumia kwa faida yake na familia yake.
 
Mzimu wa nyerere pia huko uliko unashanga hzo akili zako za come
Watu wanatakaa mkataba uwekwe wazi tuufahamu wote
Kwan hawo wakubwa wahakosei kwani sote ni bnadm
 
Toka 1961 hadi leo mwafrika ndio alikuwa anaimiliki hiyo bandari, je ameshafanya kipi cha maana?

Je hao waafrika wenzetu Malawi, Zambia nk kwanini hawakujitokeza kuomba waendeshe bandari?

Je tupinge dp world kutuletea maendeleo kwa sababu ya kutokuwa waafrika wenzetu?

Yani tuanze kuendesha mambo kwa kuzingatia jografia na sio uwezo wa mtu au kampuni husika katika kuleta maendeleo?
 
Black people in Chains in ZanzibarCredit: Corbis - Getty
 
Toka 1961 hadi leo mwafrika ndio alikuwa anaimiliki hiyo bandari, je ameshafanya kipi cha maana?
Ni mpumbavu na mpuuzi tu ambaye anaye weza kuuliza swali kama hilo. Hatahivyo mpaka leo hii asilimia 40% ya pato la Taifa linapatikana hapo. Itoshe, Kama kiranja wa Nchi zilizokuwa mstari wa mbele katika Ukombozi wa Mwafrika kusini mwa Sahara, Bandari yetu ndio Iliyopitisha karibia zana nyingi za kivita kuzi komboa Nchi nyingi na hivyo ndio kueema Bandari yetu kupitia Uafrika wetu kufanya mambo ya Maana sana

sio hivyo tuu Tanzania imeweza kufanya uwekezaji mkubwa katika bandari yetu na kuboreha Miundombinu kwa takriban Trillioni 2 Shillingi kwa kupitia Mikopo ambayo Watanzania wana wajibu wa kuyalipa.
Narudia, Ni.mpumbacu na mpuuzi tu anayeweza kuuliza swali kama hilo na kujidhalilisha kwa sentensi hio hio-hiyo inaniambia weqe huna Uzalendo wowote ule.
Je hao waafrika wenzetu Malawi, Zambia nk kwanini hawakujitokeza kuomba waendeshe bandari?
Ikiwa hata huu Mkataba au mchakato mzima ulikuwa ni wasiri, una uhakika gani kuwa hawajawahi kujitokeza. Haijalishi, TAZARA je au Matamanio ya Raisi wa Rwanda kuachiwa uendeshaji, Umezingatia hayo?


Je tupinge dp world kutuletea maendeleo kwa sababu ya kutokuwa waafrika wenzetu?
DP world hawatuletei Maendeleo! Hiyo dhana umeitoa wapi? wewe una upunguwani DP world inaleta maendeleo gani hapo Bandarini zaidi ya Kuendesha? Bandari imeshafanyiwa maboresho, usianze uwongo au kuuendelza
Yani tuanze kuendesha mambo kwa kuzingatia jografia na sio uwezo wa mtu au kampuni husika katika kuleta maendeleo?
Swali zuri tu, Kwani hatuna Makampuni ya Watanzania ambayo tunaweza kuyawezesha halafu wao waajiri hao waarabu?
Weye mdudumizi, usijiondoe Ufahamu. hakuna na wala haitakuja kutokea kwa kampuninyeyote ile kuwaletea maendeleo Watanzania. isitoshe makampuni huwa wanajitafutia maendeleo yao kwanza kabla ya kitu kingine chechote kile....kajidanganye mwenyewe, kha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…