Tupe ubuyu basi imekuwaje na umejuaje? Kwani wakati wanakubali kuolewa walikuwa hawajui au hawamjui manaraHuyo huyo, bibie anadai talaka, Ila kiasi adai jamani....mtu hata mwaka bado unaletewa mke mpyaaa, kajionea ya nini mieee!🤣🤣
Nenda page yake ya insta, caption za kulia lia....halafu huyu kaolewa Manara yupo na Nahida, Nahida akajitoa....!Tupe ubuyu basi imekuwaje na umejuaje? Kwani wakati wanakubali kuolewa walikuwa hawajui au hawamjui manara
Huhuuuu huuu nimeenda soma comment watu wanampa pole avumilie tu hakuna anaependa ukewenza kiukweli kila mtu hupenda awe peke yakeNenda page yake ya insta, caption za kulia lia....halafu huyu kaolewa Manara yupo na Nahida, Nahida akajitoa....!
Shida njaaa shoga angu kupenda show off na maisha ya juu...Manara anakwambia anaishi appartment ye ndo mweusi majirani wote wazungu🤣, Chezea kualikwa iftar ubalozi wa Uturuki....hapo unaingia mansion za kina GSM unavyotaka! Ndo wadada WA mjini kupenda makubwa wanajipeleka.
Hii sio dini nakataaa ni uzinzi tu kama uzinzi mwingine,hawa kina Haji hatuwaoni kwenye jambo lolote la dini zaidi ya upuuzi upuuzi na mauzinzi yao kwa jina la sunnaKishaumana hukoo, mke Yuko kwao anasubiri talaka.
Anatumia uislam kuhalalisha uzinzi wake.Hii sio dini nakataaa ni uzinzi tu kama uzinzi mwingine,hawa kina Haji hatuwaoni kwenye jambo lolote la dini zaidi ya upuuzi upuuzi na mauzinzi yao kwa jina la sunna
Halafu kipindi anaolewa Manara anahojiwa alisema kabisa nitaongeza mke mwingine, huyu amekubali kuolewa mke wa pili hivo hawezi kukataa nikiongeza....sasa hivi mwenzie analia liaHuhuuuu huuu nimeenda soma comment watu wanampa pole avumilie tu hakuna anaependa ukewenza kiukweli kila mtu hupenda awe peke yake
Halafu kipindi anaolewa Manara anahojiwa alisema kabisa nitaongeza mke mwingine, huyu amekubali kuolewa mke wa pili hivo hawezi kukataa nikiongeza....sasa hivi mwenzie analia lia
Hatimae yamejiriDini inasema unapotaka kuoa mke wa pili ni lazima uombe ridhaa kwa mke wako wa Kwanza.
Je, Manara ana baraka za mkewe mkubwa?
Jibu ni no,
Manara ana uwezo wa kuishi na wake wawili?
Jibu ni no,
Kama hivyo, basi tusubiri matukio ya manara kukimbiwa.
so ni ngumu sana kukuta mke wa pili na watatu wana sura ngumu kama mke wa kwanza,Wake wote wataokuja ni lazima wawe viwembe ila watakua wazuri,warabu,masingasinga ila Upendo ule wenyewe alieupata ni Mke wa kwanza wengine hamna kitu.
Mume anauma! Kuhudhuria mchezo, mi aliniuma Yule Naheeda, binti mdogo, afu likurubebembe lile kwenda kumtia stress za uke wenza.....huyu wa sasa hivi legendary, watamalizana kiutuuzima.Yajayo yanachekesha halaf kama wanakubali kwanin mke mkubwa hahudhurii harusi ya mwenzie si ndio inatakiwa hivyo?
Na yule alikuwa mke ndo maana hawakuwezana maana alihitaji mume sijui nani alimdanganya akauvaa huu mkengeMume anauma! Kuhudhuria mchezo, mi aliniuma Yule Naheeda, binti mdogo, afu likurubebembe lile kwenda kumtia stress za uke wenza.....huyu wa sasa hivi legendary, watamalizana kiutuuzima.
Mume anauma! Kuhudhuria mchezo, mi aliniuma Yule Naheeda, binti mdogo, afu likurubebembe lile kwenda kumtia stress za uke wenza.....huyu wa sasa hivi legendary, watamalizana kiutuuzima.
Inashangaza, mtu dada Ake DC, shemeji waziri halafu unaenda kuolewa na Msemaji, Kama ni njaa si Bora angeomba mtaji afanye biashara....Bora hata kudanga kuliko kuolewa na Yule Mzungu....mwanaume gani anachamba vile! Kwanza anaonekana pale gubu ni nyumbani kwao.Na yule alikuwa mke ndo maana hawakuwezana maana alihitaji mume sijui nani alimdanganya akauvaa huu mkenge
Sasa manara na kisukari chake wake wengi wa nini? Anawajaza nyege tu watu wa watu.
Inashangaza, mtu dada Ake DC, shemeji waziri halafu unaenda kuolewa na Msemaji, Kama ni njaa si Bora angeomba mtaji afanye biashara....Bora hata kudanga kuliko kuolewa na Yule Mzungu....mwanaume gani anachamba vile! Kwanza anaonekana pale gubu ni nyumbani kwao.
Ana mshepu kumbeChombo ya fundiView attachment 2369584View attachment 2369585
We umejuaje ? Na nani kakwambia ni mke wa piliDini inasema unapotaka kuoa mke wa pili ni lazima uombe ridhaa kwa mke wako wa Kwanza.
Je, Manara ana baraka za mkewe mkubwa?
Jibu ni no,
Manara ana uwezo wa kuishi na wake wawili?
Jibu ni no,
Kama hivyo, basi tusubiri matukio ya manara kukimbiwa.