Candid Scope
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 11,897
- 6,933
Huyu ndiye annze maana vifo ni TZ nzima ....Sijui kama hili litatokea Mkuu. Kikwete ni msanii wa hali ya juu na hana ubavu wa kufanya lolote lile. Siku zote ameweka mbele maslahi ya magamba badala ya yale ya nchi. Nchimbi, Mwema na RPC wa Iringa wote wanatakiwa kujiuzulu mara moja na polisi wote waliohusika na mauaji haya ya kinyama kuwekwa ndani mara moja na kufunguliwa mashtaka ya mauaji.
huyo askari aliyepiga risasi ni kwamba anamori sana au vipi,ndo aonekane mfanyakazi bora ama/tena mbaya zaidi kuna mmoja anaonekana anazuia huo unyama,maana sielewi2 hapo
Polisi wakiwa kazini na kwenye vurugu hutakiwi kuwakimbilia na kuwakumbatia, unatakiwa ulale chini tena kifudifudi, kwenye sakata kama hilo hata kunyanyua mikono juu ni kujitafutia balaa.
Kumvamia askari na kumkumbatia ni kosa kubwa sana hususan kwenye fujo. Na kama kapigwa na polisi mwengine kwa chochote kile basi huyo Polisi hana makosa kwani anajuwa umemshambulia mwenzake.
Mkuu kosa la kwanza kabisa ni matumizi ya Silaha za moto dhidi ya raia ambao kimsingi ndiyo waajiri wa Polisi!.Nimejaribu tena kuziangalia picture kwa makini naona kuna surprises nyingi sana.
Jamaa kama alikuwa akijishika asianguke, pakawa na tafsir tofauti kwa skari wadogo kwa boss wao.Mikono yake imejisokotea kiunoni ila imefungwa na kushikilia camera.Police wanaweza kuwa walijikuwa hapo kwa kosa tofauti labda walikuwa wakimpa kipondo cha rungu na kumsukuma wakati akianguka reflex ikamtuma kujishika na askari bila kuweka fahamu sana.Hiii ikapelekea polisi wengine kuhisi "he was going for the officers gun".
Katika picture utaona askari wengine wakiwa busy na wengine kushangaa kilichotokea.Ni wazi police hawakupanga kuua (kwa staili hiyo) ila makosa ya mwanzo ndiyo yaliwafikisha hapo.Mpigaji angebahatika chukua video,basi tungeona marehemu alikaribia kwa kiasi gani katik tendo la kuwachanganya polisi kiasi hicho.Report ya police ikisema kuwa ni bomu lilirushwa baada ya kuwafikia polisi itapingana na hizi picture kwani,katik tukio la mabumu ya maadui si rahisi polise kuzubaa namna hiyo wakati hawana hakina kama bomu lingine linaweza kuja.Pangeonekana wengine wakijaribu thibiti chanzo cha mabomu na wengine wakiondoa majeruhi kwa haraka.
Kuna makosa ya mwanzo ambayo kama yangefanyiwa kazi palepale haya yasingefikia.Kama palikuwa na majibizano mkuu wa polisi angetumia mamlaka yake kumweka chini ya ulinzi bila jamaa kupata virungu pengine mamaboisingefikia hapa.Na ni wazi hata polisi nao hawakujiandaa kwa hiii hali.
Hembu aliyekuwa katika tukio aweke brief Discriptions,ili polisi wapate msaada ya kutoa maelezo yatakayoruhusu ama kusema kosa lilifanyika wapi na Ili jeshi likiri hayo maeneo ya makosa.Tuanze kuwa na mpango mpya kujenga nchi n akulinda raia na polisi.
Polisi wakiwa kazini na kwenye vurugu hutakiwi kuwakimbilia na kuwakumbatia, unatakiwa ulale chini tena kifudifudi, kwenye sakata kama hilo hata kunyanyua mikono juu ni kujitafutia balaa.
Kumvamia askari na kumkumbatia ni kosa kubwa sana hususan kwenye fujo. Na kama kapigwa na polisi mwengine kwa chochote kile basi huyo Polisi hana makosa kwani anajuwa umemshambulia mwenzake.
Uchochezi tu hamna hoja nyie
Ukitulia zaidi utajutia hata post yako ya kwanza.......hujawahi ona waandishi vitani.............(hata CNN/BBC)???????
Hata kama hakuwa na kibali......kuuliwa raia kinyama namna hii unahoji kibali????? Are you up your senses??????
Kimbweka wahed
Una hamu ya kutukaniwa mama ako? umetumwa na Nape nini?Uchochezi tu hamna hoja nyie