PICHA: Hii biashara ya usafirishaji wahamiaji inafanywa na matajiri wakubwa wenye connection na vigogo

Hv kwanini waethiopia wanakimbia kwao kwa wingi
 
Na mimi ndio naona kuna hoja hapa
 
Hv kwanini waethiopia wanakimbia kwao kwa wingi
Ndugu zao South Africa wametajirika na wako na pesa nyingi, so wanahitaji nguvu kazi kusaidia Biashara zao, hivyo huwagaramia kusafirisha Ndugu zao toka Ethiopia kwenda South Africa Kwa pesa nyingi Sana..!

Kukitoa kichwa kimoja toka Namanga mpaka Tunduma ni zaidi ya Milioni 1...! Kama Hawa walikua 62, means gharama ilikua zaidi ya Milioni 62 na pesa zote zinalipwa na Ndugu zao ambao wapo South Africa..!

Cha ajabu, kikwazo Kikubwa Cha safari Yao kipo Tanzania, na wao huongea kuwa wanapovuka Tanzania tu, hujihesabia washafika South Africa, Nchi nyingine wanapita tu kiulaini...!

Kinachonishangaza wengine wanakua na Passport means wanakua Transit sijui Kwa Nini kunakua na Ugumu wanapopita Tanzania.
 
mabasi yanakula ruaha mbuyuni, mitaa ya iyovi nako kuna chimba dawa na chakula Kwa matraveller na huezi kujua, lakini hela Kwa hao jamaa ipo watu wa namanga, kyela, tunduma wanapiga hizo mishe sana
Kwenye mishemishe zangu nliendaga ndani ndani sehemu za kimange huko nlikutana na checkpoint zao na wahusika wenyewe--ila jamaa watu hTRi sana
Hata ilula enzi zile ilitumika sana kituo cha kuwapokea wahamiaji
Haramu,ukishaiona msomali au wale wengine wamejichimbia mbali juwa kuna fursa wameiona

Ova
 
Wangewaachia tu wavuke
Bongo waache roho mbaya

Ova
 
Kuna kipindi nlikuwa nabadilisha sana fedha za kigeni hapo tunduma...wasomali wakija wanakuja na dola za kutosha
Ndomana sahv nlisikia mtu ana lalamika anauoungufu wa dola hawezi kupata namshangaaga sana

Ova
 
Duuh
 
Hatari kweli kweli.... Vile vifaaa vya ulaya vya kupima level ya co2 hatuna hapa bongo?
 
Hv kwanini waethiopia wanakimbia kwao kwa wingi
Ulaya wapo ndugu zao wengi na wakifika south Africa Tu wameshagika ulaya.... Tanzania ndiyo nchi ngumu kupitia kwasababu ya umbali mrefu kutoka arusha hadi tunduma ndiyo maana hata pesa yake kuwasafirisha ni ndefu sana zaidi ya milioni 4 kwa mtu mmoja
 
Hivi kwani mhamiaji haramu mmoja akiamua kusafiri mwenyewe mbona sio rahisi kukamatwa
Ni pesa yako Tu maana lazima ulipe pesa ndefu tofauti na wakiwa Kwa makundi hata wasafirishaji pia wanajua wanatoza kutokana na uwingi wenu, kumbuka hata wakifika Huko tunduma kuna agents wengine wanawapokea border Hadi kuingia south Africa
 
Kanali wa jeshi la Ethiopia analipwa $100(Mia moja),maisha mabovu sana kule
 
Kweli Mkuu, Kwa Mimi msafiri napata shida nilisikia Wasomali na WA Ethiopia wanavyopata shida kuvuka Tanzania.
Miaka ya 90 huko wakati unavuka bida zetu uhamiaji tz ukikutana nao walikuwa na hizo sana wanataka kukudundisha boda bila sababu yoyote zaidi ya roho mbaya,ndiyo ikaja watu kuvuka kwa kubinjuka

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…