PICHA: Hii biashara ya usafirishaji wahamiaji inafanywa na matajiri wakubwa wenye connection na vigogo

Basi inabeba abiria 57 tu
Tu
 
hivi najiuliza kwa nini waitwe wahamiaji halamu? Kwani huko kwao hawawezi kutengeneze vibari vya kusafiria wakasafiri kwa amani? Na kwa nini iwe watu Somalia,Eritria na Ethiopia,na wanasafiri kwa nauli kubwa, Imegina watu wanakodi Landcruse V8
 
Hivi kwa mfano nikianzisha biashara ya kusafirisha hao wahamiaji haramu ila kwa njia zetu za kiafrica sipigi pesa🤔🤔

Yani hamna haja ya kubebwa kwenye mabomba.... Mimi nakushika mkono tunatokea boda (hapo tumevuka mikoa zaidi ya 6 ndani ya dk 3!!

Ila kwakuwa huduma yangu n fast na salama..... Price yake 1000 USD kwa kichwa kimoja🚶🚶🚶
 
Unadhani wajinga hao..wameshajaribu kila namna huko hapawezekaniki ndio maana wameona bora wafie njia kuliko kubaki makwao..
Bongo rahaa sana jamani.
 
hivi najiuliza kwa nini waitwe wahamiaji halamu? Kwani huko kwao hawawezi kutengeneze vibari vya kusafiria wakasafiri kwa amani? Na kwa nini iwe watu Somalia,Eritria na Ethiopia,na wanasafiri kwa nauli kubwa, Imegina watu wanakodi Landcruse V8
Arusha kuna makampuni ya kusafirisha wahamiaji sio kwamba wanaenda kukodi V8 ili iwasafirishe.. kuanzia Kenya Hadi TANZANIA kuna maagenti Hadi wanaingia south Africa
 
Mshahara miaka mitano 😳Hao jamaa basi Wana hela🙌
 
Hii biashara imeanza zamani sana hasa kule Lampadusia walikuwa wanauwawa makusudi na hela zimeenda
Kichwa ilikuwa $2000
Tatizo hili huku Ulaya ukishikwa ni slap on the wrist na mchezo umeisha
Ila ukibeba madawa ni mvua za kutosha na kwingine ni kunyongwa
Sasa Mafia wakahamia kwenye Uhamiaji
Unabeba 100× $ 2000 safi
Sasa kwa Africa ndio unasikia dereva kakimbia ila mwenye mzigo katulia tu anatafuta njia ya kulitoa gari lake tu na wakilichukua sawa tu
Akiitwa anasema mimi nilimtuma abebe mbuzi 😄
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…