Picha: Hii ndo inaitwa unalala tajiri, unaamka masikini

Mr Dudumizi

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2020
Posts
7,799
Reaction score
14,215
Mzee wa watu alivyokuwa anakula bata, wala hakujua kama kesho mambo yanaweza kuwa vinginevyo.

Kwa wasiomfahamu huyu anaitwa ndugu Ali Bongo, aliewahi kuwa raisi wa Gabon kabla ya kupinduliwa na jeshi lililoongozwa na binamu yake jana.

Hapa kuna cha kujifunza ndugu zangu.

 
Nani kakuambia sasa hivi jamaa ni masikini?
 
Sasa huyu Mwamba ni masikini?wanamiliki apartments France na mapesa kibao.Huyo Binamu yake unadhani atamdhuru Ndugu yake,dhubutu!
 
Nani kakuambia sasa hivi jamaa ni masikini?
Jamaa anachekesha Baba yake ametawala Gabon miaka 42 na alikuwa ana akaunti za fedha zaidi ya 70, magari ya kifahari kama Ferrari achilia mbali Apartments kibao uko France.Jamaa yeye katawala miaka 14,alafu useme mtu kama uyo ni Masikini.
Au jamaa anamfananisha jamaa na Mawaziri wa Samia anao watengua[emoji1787][emoji1787]
 
Nimetolea tu mfano mkuu. Jamaa alikuwa mwili jumba, ona sasa alivyonyong'onyea kama muuza utumbo wa manzese.
Ni frustrations za muda mfupi tu,maisha yataendelea kama kawaida.Pesa za baba yake tu,hawezi kulimaliza.Hapo yupo kizuizini kwasababu akiachiwa,kunaweza kikatokea shida,hivyo wanamshikilia kwa muda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…