Picha: Hii ndo inaitwa unalala tajiri, unaamka masikini

Picha: Hii ndo inaitwa unalala tajiri, unaamka masikini

Watu kama hawa ni wezi kama hawa tunaowachoma moto huku mtaani tena kwa kuiba vitu vidogo vidogo. Inafaa wamtoe nje raia waitishe kelele za mwizi avishwe tairi wamalizane nae. Ni ukatili lakini inaweza kusaidia kupunguza tamaa za mali kwa viongozi kutoka bara la afrika.
 
Mzee wa watu alivyokuwa anakula bata, wala hakujua kama kesho mambo yanaweza kuwa vinginevyo.

Kwa wasiomfahamu huyu anaitwa ndugu Ali Bongo, aliewahi kuwa raisi wa Gabon kabla ya kupinduliwa na jeshi lililoongozwa na binamu yake jana.

Hapa kuna cha kujifunza ndugu zangu.
Maisha yanaweza kubadilika muda wowote.
 
Back
Top Bottom