Picha: Hii ndo inaitwa unalala tajiri, unaamka masikini

Picha: Hii ndo inaitwa unalala tajiri, unaamka masikini

Hakyamungu waafrika Sijui alieturogea kwny madarakani Ni Nani[emoji28]
Jirani yetu M7 na yeye bado anampango wa kuvunja record ya raisi alietawala muda mrefu zaidi Africa Mashariki na Africa kwa ujumla.

Hapo hatujui mtoto wake na yeye akiingia atakaa muda gani🤣🤣🤣
 
CCM mnalo la kujifunza hapa. Endeleeni kushupaza shingo zenu
Tujifunze kwa lipi na wakati sisi tunafuata utawala wa kidemokrasia kuanzia chamani hadi serikalini.

Kuna vyama kama vile CUF, Chadema, NCCR mageuzi nk vinaonesha wazi kuwa vikiingia madarakani viongozi wao hawatokubali kutoka madarakani, kutokana na kuendekeza utawala wa kimla, kidikteta na kifalme katika vyama vyao, hivyo itakuwa rahisi kwao kusababisha mapinduzi nchini kwetu.
 
Back
Top Bottom