bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Ameisha aisee..Mzee wa watu alivyokuwa anakula bata, wala hakujua kama kesho mambo yanaweza kuwa vinginevyo.
Kwa wasiomfahamu huyu anaitwa ndugu Ali Bongo, aliewahi kuwa raisi wa Gabon kabla ya kupinduliwa na jeshi lililoongozwa na binamu yake jana.
Hapa kuna cha kujifunza ndugu zangu.
Video yake Ili trend sana sema uwezo wa kupepeta mdomo anao.Kuna yule jamaa anaitwa "Muhasibu wa daladala" alikuwa kondakta sasa kapata kazi pale efm kwa Majizzo anakula pesa yaani kiutani utani tu .!
Tatizo hajui na wala hafahamu kama mwisho wake waja.Yule Mzee mshenzi sana anamiliki mpaka Yatch za kifahari Ulaya!
Jamaa mashavu yameshuka ghafla kama anapuliza moto vile π€£π€£Ameisha aisee..
ule usemi mashavu yamemshuka kumbe kweli.zee la 'make noise' haamini anachokiona
Ali Bongo...rais aliyepinduliwa Gabon
Maisha yanaweza kubadilika muda wowote.Mzee wa watu alivyokuwa anakula bata, wala hakujua kama kesho mambo yanaweza kuwa vinginevyo.
Kwa wasiomfahamu huyu anaitwa ndugu Ali Bongo, aliewahi kuwa raisi wa Gabon kabla ya kupinduliwa na jeshi lililoongozwa na binamu yake jana.
Hapa kuna cha kujifunza ndugu zangu.
Hata maza ajifunze!Ni fundisho kwa madikteta
Good movement in Africa!!Mzee wa watu alivyokuwa anakula bata, wala hakujua kama kesho mambo yanaweza kuwa vinginevyo.
Kwa wasiomfahamu huyu anaitwa ndugu Ali Bongo, aliewahi kuwa raisi wa Gabon kabla ya kupinduliwa na jeshi lililoongozwa na binamu yake jana.
Hapa kuna cha kujifunza ndugu zangu.
Na ndiye alikuwa msimamizi Mkuu WA uwekezaji njeSasa huyu Mwamba ni masikini?wanamiliki apartments France na mapesa kibao.Huyo Binamu yake unadhani atamdhuru Ndugu yake,dhubutu!
Kawa kama kuku aliemwagiwa maji π€£π€£Aisee mwamba anatia huruma
Kweli aisee.. angalia jamaa shati lilivyokuwa kubwa ghafla.Maisha yanaweza kubadilika muda wowote.
Nasikia M7 sasa hivi anaishi tumbo joto.Hata maza ajifunze!
We acha tu mkuu, yani hawa watu muda mungine wanafurahisha, na muda mungine wanasikitisha.Imebidi nicheke badala ya kusikitika πππ
Unamaanisha bimdashi au?Waambie viongozi wa Sirikali ya CCCm wanalo la kujifunza!!