Picha: Hii ndo inaitwa unalala tajiri, unaamka masikini

Sio maskini kidogo, hujui definition ya umaskini, yupo house arrested, hajui mke na wane walipo, na huishia kufunguliwa mashtaka, na kufa kabla hata hawajuhukumiwa, huo ndo umaskini
Nimependa maelezo yako. Hakuna umasikini mbaya kama wa kukosa amani katika maisha.

Jamaa kwa sasa hana amani wala furaha. Hivyo hata hizo hela zake hawezi kuziona thamani yake.
 
Lakini huyu mwamba alipata stroke tangu 2018, alikuwa akilazimisha tu urais lakini kiufupi afya yake haikuwa timamu regardless ya matibabu ya muda mrefu nchini Ufaransa.
Sasa sijui kwanini alitaka kuendelea na madaraka wakati akijua kuwa yeye ni mgonjwa.
 
Kwa stahili hii Afrika kuendelea kazi ipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…