Picha: Hii ndo inaitwa unalala tajiri, unaamka masikini

Madikteta wanajua mwisho wao, Gaddafi alikuwa na pesa nyingi, Airport ndege zipo tayari zinamsubiri yeye tu akiamua kutoroka anaenda lakini aliamua kufa na kuchomwa bayonet matakon*
Hahaha... kwa hali ilivyokuwa kipindi cha vita ya kumtoa Ghadafi kwa kweli asingeweza kutoroka kupitia njia ya anga, maana NATO na washirika wake tayari walikuwa wameshaifunga anga ya Libya kitu kilichomfanya ajaribu kutoroka kupitia njia ya chini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…