Picha hizi zinasambaa mitandaoni kuwa Hawa ndio wauwaji waliouwa maelfu ya wananchi kwa kuvizia 29 October

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
3,558
Reaction score
7,935
Picha hizi zinasambaa mitandaoni kuwa Hawa ndio wauwaji waliouwa maelfu ya wananchi kwa kuvizia 29 October

FB_IMG_17628619484339104.jpg
ich
 
Ni MaZero Brain hao ndiyo maana baadhi yao yalifumuliwa UBONGO na JWTZ kwa kuua watu tu ovyo ovyo.
 
Wapi huko?
Kwa nini mtu na akili zako ujiweke kwenye kupotosha watu katika swala la kuhuzunisha kama hili?

Tufahamishe "yalipo fumuliwa UBONDO na JWTZ kwa kuua watu...". Tukio hilo lilitokea wapi, na unao ushahidi juu yake?
 
Wewe elewa tu kuna baadhi ya MAZERO BRAIN walifumuliwa UBONGO na JWTZ kwa upuuzi wao waliokuwa wanafanya wa kuua watu ovyo ovyo.
 
Sasa huu nao wewe unataka uwe mjadala kati yangu na wewe?
Huwa ninakusoma, lakini kuna jambo kuhusu wewe halipo sawasawa. Huu ni mfano mzuri kuhusu kilicho fichika juu yako.
 
Mwenyezi Mungu atawalipa kwa yote waliyoyachuma. Sasa hivi hapo wanajiona wajanjaaa. Ila watalipia kila nafsi waliyoitoa duniani
 
Back
Top Bottom