Picha hizi zinasambaa mitandaoni kuwa Hawa ndio wauwaji waliouwa maelfu ya wananchi kwa kuvizia 29 October

Picha hizi zinasambaa mitandaoni kuwa Hawa ndio wauwaji waliouwa maelfu ya wananchi kwa kuvizia 29 October

Attachments

  • FB_IMG_1762284881487.jpg
    FB_IMG_1762284881487.jpg
    37.4 KB · Views: 19
Inawezekana uliwaona mtandaoni pia, kama ulikuwepo ni jambo bora ila kama hukuwepo toa boriti kwenye jicho lako.
 
Sasa huu nao wewe unataka uwe mjadala kati yangu na wewe?
Huwa ninakusoma, lakini kuna jambo kuhusu wewe halipo sawasawa. Huu ni mfano mzuri kuhusu kilicho fichika juu yako.
Mkuu heshima yako kwasababu nimeona umejiunga 2006 respect sana ila kwenye hili 100% sina shaka na taarifa hii kwamba baadhi ya MAZERO BRAIN walifumuliwa UBONGO na JWTZ....Tunawapongeza sana JWTZ waliotekeleza hilo swala ,siyo uchochezi bali walishindwa kuvumilia kuona wananchi wakiendelea kuuawa ovyo ovyo.

Kama unajuana na msoja yeyote ebu muulize vizuri atakwambia na kwasasa wengi wameambiwa watulie kwanza inside only wale wenye kazi maalumu ndiyo wapo nje ,nina wanafunzi wangu wengi ni masoja ,mafariki zangu ,homeboyz pia ,nimekulia kwenye kambi za jeshi mbalimbali kuanzia Lugalo , 832KJ , Navy , Kikosi cha Mizinga(Siyo cha kalapina) , Kunduchi Millitary Academy.(Enzi hizo barabara ya mtongani kwenda bahari beach ni vumbi tupu haijawekwa lami).
 
Sasa huu nao wewe unataka uwe mjadala kati yangu na wewe?
Huwa ninakusoma, lakini kuna jambo kuhusu wewe halipo sawasawa. Huu ni mfano mzuri kuhusu kilicho fichika juu yako.
Nimekuja kugundu kwamba haujaelewa ZERO BRAIN ni kina nani.

ZERO BRAIN ni Askari wa Abdul walioua raia ovyo ambao raia wasiokuwa hata ni jiwe mkononi.

WAANDAMANAJI ni WAZALENDO.
 
Back
Top Bottom