Sina malaria kabisa juzi kati hapa nilienda mahali kulikuwa na Kikao tukaletewa nyama pori na chipsi, nilipokula kurudi home nasikia kutapika na joto la miwili liko juu ndani hakulaliki hata feni ilikuwa inanietea changamoto nikaamua kulala nje mpaka saa 8 usiku kuingia ndani Wacha nitapike na kuhara kesho yake naenda hospital malaria nikapima hakuna nikapima na stool nikaambiwa ni food poisoning tu.Utakuja kufa vibaya 😀🤣, nyungu ya Mara 1 ndo ikupe protection ya miaka 12 🤓
Hujui avatar? 🤣🤣🤣Avatar gani hizo 😄😆,
Majarabibi acha hizo🤓🤣😄, Nisije kuwa nacho bhana🤣Huna adabu😂😂😂
Ni umoja sio wingi, error typoAvatar gani hizo 😄😆,
Avatar Nazi jua, nitag nione Sasa🤓Hujui avatar? 🤣🤣🤣
Au DP basi tafuta Mimi Mwanakijiji kwenye majukwaa ya siasa kule
mbona shida mkuukula kimasiara ndio uzi mnaopenda ila mkishaliwa na magonjwa mnaanza kuleta vilio
mbona shidaGenital herpes Hio, ukaenda hospital Kuna dawa wanakupa kui control, hivi vipele vitapotea na kurudi tena hata baada ya mwaka, kiufupi genital herpes Haina Tiba ya kuimaliza kabisa, ukishapata utaishia nayo mpaka ufe, ila vipele hivyo vitakua vinatokea na kupotea
mh mh mhhivyo ukidinda tu vinapasuka mkuu
duuh yaan nashangaa tuPia huwa havinaga maumivu na Mara nyingi huu ugonjwa unaupata kwa wingi Sana kwa MALAYA WALE WANAO JIUZA UBANDANI
NA UNAMPATA MWANAUME HATA AKITUMIA CONDOMS SABB YA YALE MAJIMAJI YA MWANAMKE YAKIGUSA LIBOLO Fc
Unaona ume Anza kuharibu, hutaki nitibiwe ehh🤣Yaani huna adabu kama alivyo sema Ms Aaliyyah , tuma hapa Madokta waone wakushauri 🤣🤣🤣
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2296][emoji2296][emoji2296]dronedrakeKaka kwa style hii, Bora Nikae single [emoji23][emoji23]
Ni herpes mkuuBrown alisema Riri kampa gono
mbona picha hazifunguki?Umekwisha..... [emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]
Tuishi Humu😄🤣, Manyanza hii nili itengeneza Mimi🤓[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2296][emoji2296][emoji2296]dronedrake
Kaka Mimi ni jobless pro max, sema Hawa viumbe ishi nao kwa akili tu🤣🤣Alaaa 🤣🤣🤣
Kumbe Wewe ni Mtu mzito sana ?