Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
- Thread starter
- #21
[emoji23][emoji23]Hasara za matumizi ya kimalkia kwa muda mrefu mkuu. Mimi na wanangu huwa tunazungumza kimalkiaHudhuni = huzuni. Yaani watu kama wewe usiyeweza kuandika kiswahili vizuri mnastahili vifungo vya miezi 6 jela.