KJ07 JF-Expert Member Joined Dec 17, 2021 Posts 2,370 Reaction score 5,381 Mar 2, 2024 #41 Mafanikio huja kwa majasiri tu.
Saidama JF-Expert Member Joined Jun 10, 2022 Posts 598 Reaction score 1,151 Mar 2, 2024 #42 Ni kijana alieamua kujitoa akili na kuingiza gia zote. Anatukana na kudhihaki viongozi wa serikali direct
Ni kijana alieamua kujitoa akili na kuingiza gia zote. Anatukana na kudhihaki viongozi wa serikali direct
Accumen Mo JF-Expert Member Joined May 15, 2022 Posts 18,036 Reaction score 39,882 Mar 2, 2024 #43 SUKUNUNUA A.K.A Baba Ashura ,huyu hana adabu kabisa hata robo ,kwanza hata kuandika hajui vizuri kazi kukejeli watu tu.!
SUKUNUNUA A.K.A Baba Ashura ,huyu hana adabu kabisa hata robo ,kwanza hata kuandika hajui vizuri kazi kukejeli watu tu.!
V Vito Corleone JF-Expert Member Joined Apr 4, 2023 Posts 2,418 Reaction score 5,257 Mar 2, 2024 #44 Mkuu uwe unatoa ufafanuzi hasa kwenye kichwa maana Kuna X na kuzidisha
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Mar 2, 2024 #45 Duh aiseee
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 96,456 Reaction score 156,324 Mar 3, 2024 #46 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]