Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
- Thread starter
-
- #21
[emoji23][emoji23]Hasara za matumizi ya kimalkia kwa muda mrefu mkuu. Mimi na wanangu huwa tunazungumza kimalkiaHudhuni = huzuni. Yaani watu kama wewe usiyeweza kuandika kiswahili vizuri mnastahili vifungo vya miezi 6 jela.
[emoji23][emoji23]Dah, kumbe mshkaji nishamfollow kitambo, ni vile tu Profile yake hajaiwekea usukununu.Hiyo hiyo Sukununu
🤣🤣🤣🤣[emoji23][emoji23]Dah, kumbe mshkaji nishamfollow kitambo, ni vile tu Profile yake hajaiwekea usukununu.
Kwenye timelime yangu sionagi post yake. Labda huenda ni kwa vile huwa nashinda sana kwa wale warumi
Kwetu tupo wapoloo tuBrother niletee sister ako nioe Basi🤓
Acha kujitetea ujinga.[emoji23][emoji23]Hasara za matumizi ya kimalkia kwa muda mrefu mkuu. Mimi na wanangu huwa tunazungumza kimalkia
Shemeji yako humjui??!Kwetu tupo wapoloo tu
Hatujaoa hata mmoja kwahiyo sijui yupi ni yupiShemeji yako humjui??!
Huyu kijana watamroma mkatoliki
Nita kuonyesha siku 1Hatujaoa hata mmoja kwahiyo sijui yupi ni yupi
Utanionyesha au utanionesha?Nita kuonyesha siku 1
Nita kuonyesha, kipigo au onyo??Utanionyesha au utanionesha?
🤒 nusu kengemajiNita kuonyesha, kipigo au onyo??
NJukaa🤒 nusu kengemaji
ww ni mwehu kabsa😀😆uwe una eleweka bablai, SI tulikuwa chama Cha sabuni 🤓