Picha: Jinsi tapeli la Kinigeria lilivyojaribu kunitapeli mtoto wa Magomeni Mikumi leo asubuhi

Aisee hawa wazungu wengin wanachekesha sana Imagine nusu nitapeliw kizembe zembe tu .. ila inshu niliistukia baada ya kukumbuka kuna jamaa angu nae alitapeliw kama elfu98 hivi hivi ... nika mkwepa kiainaa
Sio wazungu hawa mkuu, ni waafrika wenzetu wa afrika magharibi wanaojifanya wazungu wa Marekani kumbe wako kwao vichakani huko Kano Nigreria au Ghana vijijini. Kinachowasaidia wenzetu lugha ya mzungu kwao ni kama maji, so hata mtu akulie mashambani huko atakiongea tu na kukiandika.
 
Najiulizaga huyu Binti pics zake hatambui kabisa kwamba zinatumika au hayupo duniani?
Nilifuatwa na pics hizihizi mwaka jana, mara sijui ananipenda anataka anitumie mzigo, sasa alipofeli, akaniambia mzigo utapitia Nigeria so natakiwa kulipa fees.
Niliamua kumute.
Wengi huchukua picha zile kutoka katika mitandaoni mbali mbali mfano FB tena zile za mabinti wazuri ambao wengi wao wameshakufa au hawaingii tena mitandaoni kutokana na sababu mbali mbali mbali.
 
Haha watu tushafuatwa hadi telegram ambako ni ngumu kumjua mtu tena kwa masuala hayo hayo ya bitcoin lakini tukachomoa
Kuna mwana JF mmoja hapo juu ka coment kwamba ilibakia kidogo tu wampige ila mshikaji wake ndo aliewahi kumshtua kuhusu watu hawa. Lakini pia wapo wengi kwenye uzi huu ambao wanasema wamekoswa koswa wakashtuka wenyewe Kwahiyo hii inamaanisha kwamb bado kuna watu hawajui utapeli huu, ni ili wengi wajue inabidi ukipata tukio kama hili uliweke hapa ili wale wasiojua wajifunze kupitia hapa.

Sio kila mtu anakimbilia kuingia JF ili apost habari za Diamond na Konde ambazo unakuta tayari zishaandikwa kwenye magazeti mbali mbali na watu wanazijua.
 
Jamaa bure kabisa, hata area code za nchi hazijui mpaka aka google harafu anakuja humu anajikuta mwamba mjanja kumbe hamna kitu.
Acha ujinga wewe usiwe mtu wa kukimbilia kuandika bila kufikiri. Yani mwenzio kaandika bila kufikiri na wewe pia umekimbilia kum quote bila kufikiri ukidhani uliem quote atakuona mjanja.
Unataka kuniambia wewe umekariri code za nchi zote duniani hata zile ambazo hazina umuhimu wowote kwako?

Nigeria mimi sina baba, mama wala ndugu yoyote anaeishi kule, na isitoshe sina mpango wala fikra za kwenda kuishi kule, sasa unataka nikariri namba za nchi yao kwa sababu ipi? Yani mtu na akili zako uishi maisha yako kwa njia za kukariri na kuhifadhi code namba za nchi zote duniani hata zile ambazo hauna mpango wa kwenda katika maisha yako?
Wewe ulitakiwa uniulize mimi sababu ya ku google hizo namba mbili ili nikuambie afu ndo uandike kutokana na kile nitakachokujibu.

Hivi wewe ukiona nyoka afu jamaa anakwambia kwamba huyo sio nyoka ni mjusi utakubali tu kichwa kichwa kisa umekaririshwa? Jamaa amesema yeye ni mmarekani tena boss kabisa wa kampuni husika. Ila namba yake inaonekana kuwa sio ya Marekani bali ni ya Nigeria. Sasa ulitaka mimi nimuache bila kumuonesha kwamba ni ngumu kunitapeli mimi kwa style ile. Lakini pia nimeona kama ningemwambia tu kuwa yeye ni Mnigeria bila kumuonesha sababu iliyonifanya nimuone yeye ni mnigeria ingekuwa ngumu kunielewa. Ndo maana mimi kwa kifupi nika google code namba za US na Nigeria na kumtumia aone kwamb siku hizi kabla ya mtu kutapeliwa huwa ana search ili kujiridhisha. Of course najua mtu anaweza kuwa na namb ya Nigeria na akaitumia nchi yoyote, lakini sio kwa mtu wa aina ya huyu tapeli. Na hasa ukizingatia kwamb Nigeria ndo kunapotoka matapeli wengi hapa Afrika. Bora namba ile kidogo ingekuwa ya UK afu aseme ni raia wa US kidogo ingeleta mantiki kwa boss mzungu wa Marekani kuwa na namba za UK ila sio Nigeria.
 
Kuna mwana JF mmoja hapo juu ka coment kwamba ilibakia kidogo tu wampige ila mshikaji wake ndo aliewahi kumshtua kuhusu watu hawa. Lakini pia wapo wengi kwenye uzi huu ambao wanasema wamekoswa koswa wakashtuka wenyewe Kwahiyo hii inamaanisha kwamb bado kuna watu hawajui utapeli huu, ni ili wengi wajue inabidi ukipata tukio kama hili uliweke hapa ili wale wasiojua wajifunze kupitia hapa.

Sio kila mtu anakimbilia kuingia JF ili apost habari za Diamond na Konde ambazo unakuta tayari zishaandikwa kwenye magazeti mbali mbali na watu wanazijua.
Sawa umeeleweka kiongozi
 
Anaweza kuwa mbongo anayetumia hiyo namba, tena unayemfahamu au ulimpa namba yako mwenyewe. Hizo namba watu kupata za nchi unavyotaka ni rahisi sana.
 
Mkuu soma post namb #99 utaelewa vizuri kwamb ili mtu apate namb yako sio lazima awe mbongo. Hata na wewe unaweza kufanya kile nilichoandika kule ukapata namba za watu mbali mbali usiwajua.

Hili hata mi mwenyewe nishawahi kulipima.
Haujawahi kuandika namba wrong na baadae ukapiga na ukafanikiwa kumpata mwenye namba ila ukakuta sio yule uliekuwa namba (ndugu yako) afu baadae unakuja kugundua kuwa ulikosea namba ila pamoja na kukosea lakini unakuta ile namba uliyokosea pia ina mtu anaitumia. Hivyo ndo huwa wanafanya, yani kubahatisha namba na wakiona ni mtu wasiemjua ndo kazi huanzia hapo.
 
Najiulizaga huyu Binti pics zake hatambui kabisa kwamba zinatumika au hayupo duniani?
Nilifuatwa na pics hizihizi mwaka jana, mara sijui ananipenda anataka anitumie mzigo, sasa alipofeli, akaniambia mzigo utapitia Nigeria so natakiwa kulipa fees.
Niliamua kumute.
Ukitaka kumpatia mpigie whatspp video kamwe hatoitika atakuletea maelezo yasioeleweka.
 
Wanaitumia sana hii picha
Dawa ni kumpigia muhusika video call kupitia whatspp ili uone kama sura yake inaendana na picha aliyoweka.

Nakuhakikishia kuwa kamwe tapeli halitoitika 🤣🤣🤣
 
Nnakumbuka kipindi hicho nnamaliza form 6 mambo ya mtandaoni kutafuta scholarship nikakutana nao hao jamaa nilijua tayari nimetoboa nimepata chuo USA sema kilichonisaidia hela yenyewe nilikuwa sina mbona ningeituma maana nilishatumiwa documents kwenye kuhangaika kutafuta hyo hela ya kutuma ndio kuna bro nikamuhadithia akaniambia hao matapeli achana nao hila hapo washanitesa sana hzo route za kwenda internet cafe maana kipindi hicho net lazima internet cafe nimeshinda sana internet cafe inaitwa richmond nyuma ya jengo la ushirika kutuma vyeti mara ku scan vyeti kumbe matapeli.
Dah pole sana mkuu.
 
Hawa wajinga nimeanza kukutana nao tangu enzi hizo anajifanya ni muhanga wa vuta sjui wana treasure wapi huko hivyo akipata mtu anamuoa ndo atakabidhiwa... Ukijicgangamya unapewa namba ya mchungaji huko cameroon blah blah blah.... [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my SO-01K using JamiiForums mobile app
Ukimwambia acha tuwe tunawasiliana kupitia video call ya whatspp ataku block fasta na matusi juu 🤣🤣🤣
 
Acha ujinga wewe usiwe mtu wa kukimbilia kuandika bila kufikiri. Yani mwenzio kaandika bila kufikiri na wewe pia umekimbilia kum quote bila kufikiri ukidhani uliem quote atakuona mjanja.
Unataka kuniambia wewe umekariri code za nchi zote duniani hata zile ambazo hazina umuhimu wowote kwako?

Nigeria mimi sina baba, mama wala ndugu yoyote anaeishi kule, na isitoshe sina mpango wala fikra za kwenda kuishi kule, sasa unataka nikariri namba za nchi yao kwa sababu ipi? Yani mtu na akili zako uishi maisha yako kwa njia za kukariri na kuhifadhi code namba za nchi zote duniani hata zile ambazo hauna mpango wa kwenda katika maisha yako?
Wewe ulitakiwa uniulize mimi sababu ya ku google hizo namba mbili ili nikuambie afu ndo uandike kutokana na kile nitakachokujibu.

Hivi wewe ukiona nyoka afu jamaa anakwambia kwamba huyo sio nyoka ni mjusi utakubali tu kichwa kichwa kisa umekaririshwa? Jamaa amesema yeye ni mmarekani tena boss kabisa wa kampuni husika. Ila namba yake inaonekana kuwa sio ya Marekani bali ni ya Nigeria. Sasa ulitaka mimi nimuache bila kumuonesha kwamba ni ngumu kunitapeli mimi kwa style ile. Lakini pia nimeona kama ningemwambia tu kuwa yeye ni Mnigeria bila kumuonesha sababu iliyonifanya nimuone yeye ni mnigeria ingekuwa ngumu kunielewa. Ndo maana mimi kwa kifupi nika google code namba za US na Nigeria na kumtumia aone kwamb siku hizi kabla ya mtu kutapeliwa huwa ana search ili kujiridhisha. Of course najua mtu anaweza kuwa na namb ya Nigeria na akaitumia nchi yoyote, lakini sio kwa mtu wa aina ya huyu tapeli. Na hasa ukizingatia kwamb Nigeria ndo kunapotoka matapeli wengi hapa Afrika. Bora namba ile kidogo ingekuwa ya UK afu aseme ni raia wa US kidogo ingeleta mantiki kwa boss mzungu wa Marekani kuwa na namba za UK ila sio Nigeria.
Umeandika kitabu chote hiki kwamaneno ambayo ungekuwa na akili timamu mistari michache tu ingetosha kufikisha jambo lako, what an insane you are!
Umeandika ujinga mtupu kuonesha ni jinsi gani low rated IQ, hivi area code ya Marekani nayo ya kugoogle? Kwenye kila jambo kuna vitu ni popular kama huvijui inamaanisha sio mambo yako yaani ni mshamba tu wa hivo vitu. Kwahiyo wewe ulivo tuletea humu ukajua tutakuona mjanja right?
 
Sasa nije kukuona siku moja unajimwambafy kuwa unajua kikristo kama Ras Simba....
 
Acha ujinga wewe usiwe mtu wa kukimbilia kuandika bila kufikiri. Yani mwenzio kaandika bila kufikiri na wewe pia umekimbilia kum quote bila kufikiri ukidhani uliem quote atakuona mjanja.
Unataka kuniambia wewe umekariri code za nchi zote duniani hata zile ambazo hazina umuhimu wowote kwako?

Nigeria mimi sina baba, mama wala ndugu yoyote anaeishi kule, na isitoshe sina mpango wala fikra za kwenda kuishi kule, sasa unataka nikariri namba za nchi yao kwa sababu ipi? Yani mtu na akili zako uishi maisha yako kwa njia za kukariri na kuhifadhi code namba za nchi zote duniani hata zile ambazo hauna mpango wa kwenda katika maisha yako?
Wewe ulitakiwa uniulize mimi sababu ya ku google hizo namba mbili ili nikuambie afu ndo uandike kutokana na kile nitakachokujibu.

Hivi wewe ukiona nyoka afu jamaa anakwambia kwamba huyo sio nyoka ni mjusi utakubali tu kichwa kichwa kisa umekaririshwa? Jamaa amesema yeye ni mmarekani tena boss kabisa wa kampuni husika. Ila namba yake inaonekana kuwa sio ya Marekani bali ni ya Nigeria. Sasa ulitaka mimi nimuache bila kumuonesha kwamba ni ngumu kunitapeli mimi kwa style ile. Lakini pia nimeona kama ningemwambia tu kuwa yeye ni Mnigeria bila kumuonesha sababu iliyonifanya nimuone yeye ni mnigeria ingekuwa ngumu kunielewa. Ndo maana mimi kwa kifupi nika google code namba za US na Nigeria na kumtumia aone kwamb siku hizi kabla ya mtu kutapeliwa huwa ana search ili kujiridhisha. Of course najua mtu anaweza kuwa na namb ya Nigeria na akaitumia nchi yoyote, lakini sio kwa mtu wa aina ya huyu tapeli. Na hasa ukizingatia kwamb Nigeria ndo kunapotoka matapeli wengi hapa Afrika. Bora namba ile kidogo ingekuwa ya UK afu aseme ni raia wa US kidogo ingeleta mantiki kwa boss mzungu wa Marekani kuwa na namba za UK ila sio Nigeria.
Harafu we mjinga sikia, hivi umejuaje kama huyo mtu ni mnigeria? Au kwa kuona iyo area code ya namba ya simu imetosha? Usitumia ushamba wako wa technolojia kuji outshine hapa jukwaani wengine waswahili wenzako sema wamekuzidi maarifa, nenda shule boya wewe.
 
Back
Top Bottom