Picha kutoka maktaba,,,sasa hivi ni bilionea mkubwa huyu

Picha kutoka maktaba,,,sasa hivi ni bilionea mkubwa huyu

Hizi picha si za 1970s...hii ni swagga na technology ya 2005s na kuendelea...
So huyo si Dr. Shika
 
Ilikuwa ni miaka ya 1980s mitaa ya urusi,,,,,na sasa hivi ni bilionea mkubwa sana[emoji3] [emoji3] [emoji23]
dda9a771c7b530da7ac684986675d6f5.jpg

6d41c6978c70ff1bde3d77b7aa53c2a6.jpg
Du umewakamata
 
ila wabongo mnajua kuchungunguza sana aisee... Mbona lisu amjapata waliompiga risasi hadi leo ...why?
 
Miaka ya 1980's nadhani picha zilikuwa black and white.
 
Hizi picha siziamini ...1970 kweli mbona mitoko hii kama ya miaka ya 2000
We wa juzi kweli. Haya mashati yamerudi baada ya kuvaliwa sana miaka ya nyuma . Wana muziki kama akina makassy pia walikuwa wanayavaa sana hii fashion ya zamani iliyorudi
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Hii picha ni ya juzijuzi na wala sio Dr Shika, umeichafua weee ili tuone ni ya zamani
 
We wa juzi kweli. Haya mashati yamerudi baada ya kuvaliwa sana miaka ya nyuma . Wana muziki kama akina makassy pia walikuwa wanayavaa sana hii fashion ya zamani iliyorudi
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
ngoja akutane na mtoto wa kichaga ampe mtori wiki mbili, maziwa na michemsho ya ndizi ya kutosha na avishwe vizuri sasa hivi atarudia hali yake bado mdogo sana.
 
Mbona majuha hamsomi mtoa post kasema miaka1980 nyie mmerudisha 1970
 
Shika kashikilia mutoto [emoji847][emoji847][emoji847][emoji847]

Alikua bishoo daah

Urusi sio kuzuri kabisa sasahivi hata meno hana
Ukichanganya vodka na mbunye lazima upaki skrepa.
 
Back
Top Bottom