Picha: Lift ya kwanza yazinduliwa Jijini Mbeya


ARCU opposite na Metropole Cinema kuna lifti kabla ya 1977.
 
kumbe mbea nanyi mko nyuma kimaendeleo, zanzibar hakuna mambo ya kushangaa lift
 
hivi hii lift inaendeleaje...hope watu washapigia hapo picha za kutosha kujaza album!
 
Wana Mbeya tujipange kufanya 1st Anniversary
 
LIFT YA KWANZA JIJI LA MWANZA ni katika Jengo la VICTORIA FEDERATION SIKU HIZI LINAITWA JENGO LA NYANZA COPERATIVE NA HIYO ILIKUWA 1957 wakati huo Mwl. anavaa kapula na Paul Bomani anavaa suti na kishatoka maulaya kitambo.
arusha pia arcu. ni miaka hiyo hiyo
 
wana MBEYA mupoo! kwa kweli habari hii wasiijue watani zetu toka kenya watatucheka sana
 
Ha ha ha lift ya kwanza "Jijini" karne ya 21? hatari sana hii wajameni
 
Mambo ya lift!!!! kumbe bado thread hii inafuatiliwa na wadau!! tatizo mbeya haina uwekezaji wa majengo kama hilo yakuhitaji lift....tatizo sio tetemeko tu, sababu zipo nyingi locally...ila ungekuwa mji su jiji zuri sana kimwonekano kama mijengo mirefu japo ghorofa 5-8 hivi iwepo 6-10
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…