Picha: Lift ya kwanza yazinduliwa Jijini Mbeya

Picha: Lift ya kwanza yazinduliwa Jijini Mbeya

Niliwahi kutembelea mji wa Arusha mwaka 1977, na kubahatika kufikia kwenye hoteli ya New Arusha, lenye jengo la ghorofa tatu ikiwa na lift kubwa yenye uwezo wa kubeba zaidi ya watu sita na masanduku yao.

Aidha kwa kumbukumbuku AICC ilifunguliwa mwaka huohuo 1977, hivyo basi sio sahihi kusema ndio jengo la kwanza kuwa na lift katika mji wa Arusha.

ARCU opposite na Metropole Cinema kuna lifti kabla ya 1977.
 
kumbe mbea nanyi mko nyuma kimaendeleo, zanzibar hakuna mambo ya kushangaa lift
 
hivi hii lift inaendeleaje...hope watu washapigia hapo picha za kutosha kujaza album!
 
LIFT YA KWANZA JIJI LA MWANZA ni katika Jengo la VICTORIA FEDERATION SIKU HIZI LINAITWA JENGO LA NYANZA COPERATIVE NA HIYO ILIKUWA 1957 wakati huo Mwl. anavaa kapula na Paul Bomani anavaa suti na kishatoka maulaya kitambo.
arusha pia arcu. ni miaka hiyo hiyo
 
matatizo
downloadfile-5.jpeg
downloadfile-4.jpeg
downloadfile-5.jpeg
downloadfile-4.jpeg
tu.

swissme
 
Ha ha ha lift ya kwanza "Jijini" karne ya 21? hatari sana hii wajameni
 
Mambo ya lift!!!! kumbe bado thread hii inafuatiliwa na wadau!! tatizo mbeya haina uwekezaji wa majengo kama hilo yakuhitaji lift....tatizo sio tetemeko tu, sababu zipo nyingi locally...ila ungekuwa mji su jiji zuri sana kimwonekano kama mijengo mirefu japo ghorofa 5-8 hivi iwepo 6-10
 
Back
Top Bottom