Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 6,710
- 9,063
Sasa Mambosasa kakosea wapi!
- Walivamia gereza, wakadhibitiwa na kichapo juu!
- Sometimes tuwe na uelewa, kuvamia maana yake nini!
- Hayo mambo yenu ya people's power hayawezi Ku practice kwenye majeshi
Hata kwa Mwangosi walsema uwongo kama si urongo. Wazoefu wa kudanganya na kupindua ukweli.Mara risasi ilipaa juu ,ikapinda na kukata kona ikalenga kichwani mwa Akwilina.Sioni kama picha inatosha kuthibitisha hizi tuhuma zilizoletwa hapo hata kwa kuitazama inaonekana huyo mwanamke ndiyo analeta ukaidi na kashikiliwa... Akija mwingine ataweza kusema jingine kwa mujibu wa picha, hii haiwezi kuwa uthibitisho tosha. Labda video ndiyo ingeweza kuweka wazi kila kitu, picha lazima iibue maswali.
Pia kwa mujibu wa maelezo zilipigwa risasi juu, tena Mbowe kasema zimefyatuliwa 13. Hilo ni onyo maana hawa jamaa huwa hawana risasi baridi, huwa wanatembea na xa moto. Ikiwa wakizifyatua na ukakaidi, wanaweza kutumia nguvu.... Sasa hawa hadi ifikie huko kupigwa, walikaidi onyo walilopewa.
Tumia akili kidogo uliyobaki nayo. Hapo panahitaji video?ili tuamini kama walivutwa weke video nzima inayoonyesha tukio lote na sio hiki kipande
Ninaamini aliyewatuma wale askari magereza ni Bashite Makonda. Ninaamini hata hukumu ile ni maelekezo ya Bashite. Ninaamini Nchi sasa iko mikononi mwa Bashite hakuna cha waziri mkuu wala makamu wa rais wala waziri mwenye dhamana. Chini Magufuli yuko Bashite.
Kwa jinsi mipango ovu inavyofanyika kizembe na kuacha maushahidi kibao atakuwa yule zero brain wa Dar aka mrs No 1.
First lady wa Dar ana hasira kwanini hakualikwa mkutano wa BAWACHA dar na hata alipojaribu kwenda akazuiwa. Adhabu ya Halima na Bulaya inatokana na kisasi hicho. Mayor Jacob alikuwa kwenye ule mkutano wa BAWACHA na yeye ndiye aliyejimwambafy kuwa Bashite asiingie. Jacob asingesaidiwa na Magereza kutokukimbia leo angekuwa kwenye friji mkaavu wa juzi, Bashite aliagiza auwawe kwa risasi angekimbia. Huyu Bashite aka first lady wa Dar ndiye anayeendesha nchi vyombo vyote vinamsikiliza.
Jaribio: Atafutwe askari magereza kati ya hao hapo juu atekwe na wakati wa utesaji ataeleza yote
.
Asubuhi imekaribia. Dalili- wanachoficha kinagundulika mapema. Ona hao wasichana wanasulubiwa barabarani.
Hivi hao mbwa wanaoshabikia unyama huu ni binadamu au masokwe watu?
Tunataka yasitokee haya ndiyo maana tunawakumbusha watawala. Wasiwafanye watu wakfikiria unaya kama huo!Yeah nadhani sometimes unaweza kufikia kuwaza mabaya
Fika kwanza gereza la segerea uone geographia yake.Kuvutwa ni kutolewa chini kwenye mtelemko na kulazimishwa kupanda juu mlimani gereza liko juu kilimani.ili tuamini kama walivutwa weke video nzima inayoonyesha tukio lote na sio hiki kipande
Kipigo walishapata full stop. Sasa tunashughulika na corona virus mkuu.Eti hawa akina Mama walitaka kuvunja gereza! Eti Bulaya na Halima hapo ndio wammevamia Magereza! Acha Ulimwengu uone uhuni wa hawa watu! Ukiangalia kwa umakini unaona kuwa Askari wanawavutia kwenye geti, chini kule kuna gari inapita meaning walikua mbali kabisa na lango la gereza!!
Time will tell
View attachment 1394498
View attachment 1394521
View attachment 1394222
Ndoto hio wamemfurahisha mtukanajiTaarifa ya magereza Na polis ya mambosasa imejaa uwongo mtupu.wale askari magereza walipaswa kutupwa zero Mara moja...
Utadhani enzi za makuburu!!
Kama ulivyo Photoshop ya baba wa jirani! Unaropoka tu ili watu wajue kuwa unaijua Photoshop kumbe kilaza tu! Mpuuzi na nusu.Itakuwa photoshop hii😞
Mbona unaongea vitu havilingani na hii ishu?Hata kwa Mwangosi walsema uwongo kama si urongo. Wazoefu wa kudanganya na kupindua ukweli.Mara risasi ilipaa juu ,ikapinda na kukata kona ikalenga kichwani mwa Akwilina.
raha yake ni kuona watu wanateseka nawaza sana tulimpataje ntu kama huyuHii serikali ya kishamba sana,hayo yote ni kumfurahisha jiwe maana kuna kipindi IGP alitumia busara kwa watu waliokusanyika,huyo Sadist akakasirika sana na kujiapiza kuwa "I wish i could be IGP"!
Hapo ni Kariakoo!??Eti hawa akina Mama walitaka kuvunja gereza! Eti Bulaya na Halima hapo ndio wammevamia Magereza! Acha Ulimwengu uone uhuni wa hawa watu! Ukiangalia kwa umakini unaona kuwa Askari wanawavutia kwenye geti, chini kule kuna gari inapita meaning walikua mbali kabisa na lango la gereza!!
Time will tell
View attachment 1394498
View attachment 1394521
View attachment 1394222
Serikali ya CCM/Polepole ndiyo inayowajibika na ustawi wa magereza na watu waliomo!! Wengine wote ni wavamizi tuAcha uchizi...!!Sipendi na sitaki ma CCM kuwafanya Watz hawana akili....!!!
Hivi Polepole alipokwenda kumchukua sijui kumpokea Dr. Mashinji ALIKWENDA KUVAMIA au?
CCM acheni kutetea upumbavu...!
That is purely double standards...Dunia imeona na Watz wameona..,!!!
You just wait your judgement coming very soon!
h
Hii ngoma ina kuja tz
Serikali ya CCM/Polepole ndiyo inayowajibika na ustawi wa magereza na watu waliomo!! Wengine wote ni wavamizi tu