PICHA: Mwenyekiti wa CCM Taifa Cde Dkt Samia Suluhu Hassan aongoza kikao Cha Halmashauri Kuu kwa Mafanikio Makubwa

Mafanikio gani makubwa wewe chawa? Hawa ni wezi wanaokula pesa za umma. FUNGUA AKILI WEWE CHAWA.
 
Hakuna Futari ya mama? Maana kila kikao anachofanya lazima aache kimoja cha mama.
 
Lengo la kikao ni nini? Au wanapitia upya maamuzi yaliyofanywa juu kwa juu ya ku.pitisha kuwa mgombea?
Hapo walipogusia ukomo wa madaraka au ukomo wa wabunge wa kuteuliwa/viti maalumu ilikuwa hoja na azimio la wqpinzani CHADEMA walivyokosa hoja walishaidaka tayari.
Kweli CCM mmeshindwq mkubali tu.
Si bora mkaja na hoja ya Katiba mpya na Tume huru mkaachana na mauzauza!
 
Samia mitano tena gusa achia twende kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…