Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Ni PhD, siyo PHD.Yap ni wajinga ndiyo, kwamba akina Trump, Putin, Kagame, Mseveni hawajafanya kitu chochote kwenye nchi zao ndiyo maana hawajapewa PHD?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni PhD, siyo PHD.Yap ni wajinga ndiyo, kwamba akina Trump, Putin, Kagame, Mseveni hawajafanya kitu chochote kwenye nchi zao ndiyo maana hawajapewa PHD?
Sina hiyo PhD ndiyo maana nimeshindwa kuiandika, lakini siumelewa?Ni PhD, siyo PHD.
Mafanikio gani makubwa wewe chawa? Hawa ni wezi wanaokula pesa za umma. FUNGUA AKILI WEWE CHAWA.View attachment 3265696
View attachment 3265707
View attachment 3265697
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC), leo tarehe 10 Machi 2025, jijini Dodoma.
View attachment 3265838
View attachment 3265837
View attachment 3265806
View attachment 3265698
View attachment 3265699
View attachment 3265804
SawaHakuna Futari ya mama? Maana kila kikao anachofanya lazima aache kimoja cha mama.
Hapo walipogusia ukomo wa madaraka au ukomo wa wabunge wa kuteuliwa/viti maalumu ilikuwa hoja na azimio la wqpinzani CHADEMA walivyokosa hoja walishaidaka tayari.Lengo la kikao ni nini? Au wanapitia upya maamuzi yaliyofanywa juu kwa juu ya ku.pitisha kuwa mgombea?
Petty issues zinakucheleweshaMbona hatumuoni wa kusinzia Leo?
Wewe mwenyewe ni chawaUchawa ni ugonjwa, sasa kikao cha kawaida kina mafanikio gani?