Picha na Maelezo: Yaliyojiri ktk Viwanja vya Jangwani Mkutano wa UKAWA 26/10/2014

Status
Not open for further replies.
Si nimeuliza tu kijana maana mpaka saizi kuna coster Saba zinapakia watu hapa

sasa ulitaka waendeje kwenye mkutano kama hutaki wapande basi? hoja yako ni dhaifu sana.
 
Na iwe hivyo. (Let it be)

Ni chukizo kuwa sana kwa CCM wapinzani kuungana.
Ni mategemeo ya wengi kuwa hakutatokea Yuda Iskariote miongoni mwa wana UKAWA.

Mkuu Yuda Iskariote huwa hawakosekani.
Watu kama hao wapo siku zote, na wataendelea kuwepo, ambao kwa 'vipande thelathini vya fedha' watakuwa tayari kununuliwa na kuwauza wenzao ili kunenepesha matumbo.
Cha maana ni sisi wapenda mabadiliko wote Tanzania (Tanganyika na Unguja) ambao tumechoshwa na ufedhuli na siasa za kikandamizaji za ccm kuwa macho ili tuweze kuwabaini na kuwaumbua mara moja. Haitakuwa rahisi lakini itawezekana.
Mapambano yanaendelea, mpaka kieleweke!!!
 
Kwa taarifa yenu maccm hamtoki iwe mjini au vijijini mpaka kupata mgombea kwenye chaguzi ni shida
 
UKAWA safari bado ndefu sana. Tatizo analysis mnazofanya za ujanja ujanja na tupicha twa ujanja ujanja. Weka mawe a
 

Huyo jamaa mwenye Tshirt ya kijani ana akili kweli?yaani anafikiria kiukawa na kutenda kiccm,au shabiki wa yanga?
 
Change is nature... you cannot change nature.. Mabadiliko yamewadia Tanzania... heko UKAWA..!
 
Maskini mwenyekiti wachama JK achakuzurula nakuomba omba njoo uwokoe jahazi chama kinakufia mikononi mwako
 
Mkuu, hiyo ni speed ya kufa kisiasa. Hakuna anayetishika. Tena mmeturahisishia sana. Tunaua wote kwa jiwe moja

Lizaboni una akili sana. Wasubiri uchaguzi na wasikatae matokeo. Hawakawaii kusema hatukabali matokeo. Nyomi hiyo wanayoisema lakini ukiangalia mmmh Mungu anisamehe tu.
 
Uwiiiiiiii hivi nilikuwa wapi mimepitwa na hili jambo la mhim! !
Mungu awatangulie ukawa....
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…