Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 6,750
- 14,529
Hili pia tusilisahau nyumba zao zinajulikana zilipo.Nyumba za mafisadi si tuna zijua
Wanawaunga mkono waandamanaji hao.Askari wamezidiwa au itakua nao mioyoni wanaunga mkono waandamanaji
Sababu nimeona wamezidiwa mapema sanaWanawaunga mkono waandamanaji hao.
Wamegomea amriAskari wamezidiwa au itakua nao mioyoni wanaunga mkono waandamanaji
Wakizima ndio watakuwa wamechokoza mzinga wa nyuki... hilo wanalijua sana...Ila najiuliza imekuaje serikali mpaka sasa hawajazima internet, ni nini kimewakwamisha 🤔
Hawajazidiwa wameamua kuunga mkono. Yule.mbibi hawamtaki. Binafsi nipo mstari wa Mbele.Sababu nimeona wamezidiwa mapema sana
Kuna video nimeona haa Askari wanapigw na raia, kusema kweli nimemuona huruma. Sijui kama ataponaWamegomea amri
Wameslow proxy.. txt zinachelew kwenda zipo well filtered.. ila media zinapanda fasta ukiwa na VPN. kwa upande wa Whatsapp.Ila najiuliza imekuaje serikali mpaka sasa hawajazima internet, ni nini kimewakwamisha 🤔
Ilete tuioneKuna video nimeona haa Askari wanapigw na raia, kusema kweli nimemuona huruma. Sijui kama atapona
Mkuu watu wapo maeneo tofauti, kuna wa kimara huko, Kuna ubungo, Kuna sinza, Kuna magomeni. Hawa wakiungana ni maelfu, itakua hatari zaidiKwa kifupi ni kwamba watanzania ni kama gunia la kinyesi kibichi alibebeki.
Kwa hizi video ni wazi majeshi walitegemea watanzania watoke kwa wingi ili wamalize kazi.
Lakini ndio kwanza wengi ni waangaliaji tu japo jeshi linaonyesha wazi hakuna wakuawamiza.
Anyway labda kadri masaa yanavyoenda watu wataamini na kuongezeka kitaa.
Mkuu watu wapo maeneo tofauti, kuna wa kimara huko, Kuna ubungo, Kuna sinza, Kuna magomeni. Hawa wakiungana ni maelfu, itakua hatari zaidi
Hadi jioniKuna polisi kachapwa vibokoView attachment 3495847
Share link mkuuTiktok LIVE ndio LIVE ya maandamano