GE2025 Picha na Video: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu 29 Oktoba 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Absolutely, Watanzania wengi ni mizoga, licha ya code wanazopewa na support lakini mijitu imelala ile mbaya......nimegundua wengi wanafurahia shida
 
Mkuu unaendelea kubeza kabisa watu hawajawahi kuwa na maandamano ya maana ka haya ndo the first time halafu useme wanasimama tu hapo unaowabeza wewe upo kwako na wifi hata huwazi.

Hadi hapa sikutegemea itakuwa hivyi na bado mwitikio utakuwa mkubwa mnoo
 
Ana maanisha mikoa mingine pia wachangamke ili nchi iwe declared under state of emergence then JWTZ watangaze kuchukua nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…