GE2025 Picha na Video: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu 29 Oktoba 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wameachia internet sasa ni muda wa kuangalia damage tuliyoisababisha
 
Kagera na Usalama Hy maeneo wamejaa tisi na tisi ndio wale wale km Polisi tu
 
Pamoja na maelezo yako kuwa mazuri, lakini unaipa taarifa za vijiweni tu. Hatuwezi kutumia akilikujadili mambo muhimu kama haya kwa kutegemea taarifa za vijiweni.
Niambie kinaga ubaga, hao watu wapo wapi sasa; kazi yao imekwisha sitishwa kwa tamko lipi toka kwa mamlaka yapi, hapo tutaanza kujadili jambo la maana.
 
Una uhakika sikuhimiza au unajiropokea tu ili mradi useme?

Mimi nasupport maandamano ila siungi mkono fujo, ghasia na looting. Kama wewe unasupport hayo mambo sawa, nitaheshimu msimamo wako lakini sikubaliani nao!
Sasa wewe unaye'support'' maandamano unataka hayo maandamano yakajichuje kwanza kuondoa hizo takataka za wahuni ndipo yafanyike maandamano?
Hujui kuwa hiyo kazi ya kuzuia wahuni ni kazi ya polisi, ambao ndio jukumu lao lingekuwa ni kuyalinda hayo maandamano unayo yataka wewe?
Tueleze polisi walihimiza nini kabla ya maandamano hayona kwa nini wanazuia hata hayo unayoyataka b wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…