GE2025 Picha na Video: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu 29 Oktoba 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Tutakapo isimimisha nchi angalau mwezi mmoja tutaichukua bila haja ya jeshi na mabadiliko mtayaona.

..Na nyinyi Ccm kataeni chaguzi za hovyohovyo, they r not good for you, or the country.
 
Hawa fisi twende nao hivi hivi mpaka tuwamalize najua tutashinda hii Vita

Maandamanooooooooo yajayo hawawizi kutuua Tena Kama hv

Maandamanooooooooo yajayo tunatakiwa kuwashutukiza

Mpaka tufike mwisho wa huu uhuni

Hakuna Cha kumuachia Mungu.
 
Vijana smartphone zimewaumiza, walichagua kusikiliza propaganda za akina MANGE na Polepole, kumbe wale ni watu wa fursa.
Mange anatumia ujinga wa vijana kujitajirisha.
Polepole hasira za kutolewa kwenye ulaji ndizo zikamfanya awe kinyume na serikali safi ya Samia.
Akamchafua kikwete mpaka imefika wakati vijana wanamwona kikwete kama muuaji mkuu.
Polepole na mshahara wake wa laki 8 kipindi cha uenezi aliwezaje kununua nyumba ya Billion 3 Masaki?
Polepole fisadi na mpigaji mkubwa, ubalozi kwake ulikuwa kama kufilisiwa.
Vijana wakajazwa ujinga, mara video fake za captain Tesha, mara sijui afande nani.
Lastly wako kwenye mafriji mortuary na wengine washazikwa.
Rais safi mleta maemdeleo na mwenye utu mnamkataa na kuleta uasi mkitaka kuua polisi leo mnalia..
Mlitaka police watumie fimbo kupambana na vijana wauaji, wanaokata watu vidole, wanachoma mali za watu na umma?
Kama jeshi lingetumika kuzuia yale MAANDAMANO nyumba nyingi sasa zingekuwa zinalia kilio kikuu, Polisi wametumia busara na uvumilivu mkubwa sana katika kutuliza ule moto wa vijana wa hovyo wanaokula kila uchafu wa mitandaoni.
 
Vibaka wanafaida gani kwako?
Huyu ni aliyekuwa mtangazaji wa Clouds TV , Master Tindwa alipigwa risasi akiwa amekaa katika baraza nyumbani kwake.

Sasa nakuuliza wewe kidampa wa buku 7 huyu Master Tindwa alikua ni kibaka?

Halafu nitajie sheria ya kwenye katiba au mahali kwenye PGO walipoandika vibaka wapigwe risasi.
 
Hakukuwa na uchaguzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…