GE2025 Picha na Video: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu 29 Oktoba 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Nimeshuhudia wanajeshi hapa kibo wakihamasisha wananchi twendeni msiogope tupo nyuma yenu pia mtu mmoja amepigwa risasi ya mguu hapa Kibo,polisi walizidiwa mpaka wakakimbilia kituo cha mwendokasi
 
Vijana mlioko kwenye maandamano mkiona wanajeshi wetu washangilieni kwa nguvu sana, wapeni maji, wapeni chakula kama mnacho.

Dada zetu wapeni hata kiss. Hivyo ndio wananchi waliopindua serikali zao Ulaya walifanya.
Mwanajeshi ukimuonyesha upendo hata kama alitaka kuua watu anaacha.

Kazi kubwa Kwasasa ni kuwatenganisha wanajeshi na jeshi la polisi.
 
Yeah

Na wao wamechoka maboss zao kujigeuza miungu watu kuwatisha tisha yani miye mwenyewe hapa nipo njiani uelekeo posta nikafanye tukio la kustusha umma
Ukifika tujulishe.Keyboard warrior.Usisahau kutumia mto huko uvunguni ulipojificha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…