PICHA: Nifanyeje ili kuacha Kitimoto kama dini yangu inavyonikataza?

Muislam gani unautwika?
Kitimoto sawa waweza kula sehemu ya shida.
Je ulisoma popote katika Korani ikiruhusu kuwa ukiwa jangwani pasipokuwa na maji, ukapata pombe utulize kwa kiu yako?
 
Picha ya huyo mdudu (Senene) wengine hatufahamu na tuna hamu kumtafuna!
 
Toa tangazo kuwa ukionekana unakula wakulambe bakora 100
Utaacha tu
 
Hii kitu naskia watoto wazuri eti huwa wanaiita my wao utaskia, " jamani mai wetu" ,😃😃
 
Toka nijue unaweza pata kifafa kutoka kwenye minyoo ya nguruwe pale nyama inapokuwa haijaiva na ukweli wengi wanakula nyama ambazo hazijaiva huyu mdudu simtamani hata kidogo.
Utapata kifafa hata ukila ng'ombe cha msingi usisahau kunawa tu
 
Unafik unawasumbua,Bro TUENDELEE kula tu ,Tukimaliza kazi tutavikwa Taji!!
 
[emoji1787][emoji1787] chakula pendwa cha shehe Mbowe icho ...mwenyewe anasema baada ya icho kinachofuatia ni kulamba asali ya mama samia na baada ya asali kinyaji chake pendwa anashushia mzinga wa gogo ya konyagi
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Nimekuta mahali huko MARANGU hii kitu ikiwa mezani inaitwa SAMIA.
Nikiwauliza kwa nin SAMIA....wakanijibu kabla yake ilikuwa ngumu sana kula hii kitu kwan watalii walikata tukawa hatuna kazi, tunaipenda hii kitu, tunampenda rais ndio maana tunaiita SAMIA
 
Nipo nafurahi na comments za wanaokatazwa kula kitimoto na dini yao
 
Hao wanaokukataza kula kitimoto unaweza kukuta wao ndio wabobezi wa kula vijambio vya kike na vya kiume...

Kula kitimoto, ni kinga ya UKIMWI
 
Hamia saudia
 
Anayekula kitimoto hashindwi kula konokono hata angekuwa halal nisingekula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…