Uchaguzi 2020 Picha: Profesa Lipumba akihutubia Mkutano wa kampeni Uwanja wa Mwembetogwa, Iringa Mjini

CHADEMA wakipata wabunge hata wawili uchaguzi huu unijulishe
 
Chama kinapumulia mipira hakina muda mrefu tutakiita hayati
 
Sasa CCM kama wanampenda sana si wangemmegea hata wasanii wachache japo wa underground angeongeza 'vichwa' kwenye mikutano.
 
Anayemshauri Lipumba agombee urais hamtakii mema.
 
Kwa nyomi iyo nadhani ingekua jambo la busara kuunga juhudi tu #maendeleoayanachama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…