Omusolopogasi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2017
- 7,101
- 18,051
Asante kwa kutupa engo zote. Nilifikiri picha ya kwanza ilipigwa kihujuma kumbe ni kweli yuko na cameramen tu!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CUF Habari mbona hii habari mmeificha??
CUF HabariMgombea urais kupitia chama cha wananchi CUF amelakiwa na maelfu kwa mamia ya wananchi mkoani iringa katika viwanja vya mwembetogwa tarehe 14.10.2020
Kuna chama, kama kisinge kuwa kina tumia wasanii nacho kinge kuwa kama huyu Yuda.Mgombea urais kupitia chama cha wananchi CUF amelakiwa na maelfu kwa mamia ya wananchi mkoani iringa katika viwanja vya mwembetogwa tarehe 14.10.2020
Mgombea urais kupitia chama cha wananchi CUF amelakiwa na maelfu kwa mamia ya wananchi mkoani iringa katika viwanja vya mwembetogwa tarehe 14.10.2020
Speed ya maisha ni kubwa mnooMgombea urais kupitia chama cha wananchi CUF amelakiwa na maelfu kwa mamia ya wananchi mkoani iringa katika viwanja vya mwembetogwa tarehe 14.10.2020
CCM Chanzo Cha MatatizoHasa kws kumsaliti Mungu na kujiunga na shetani na mambo yake.
CHADEMA wakipata wabunge hata wawili uchaguzi huu unijulisheHuyo Lipumba miaka yote alikuwa anatembelea nyota ya Maalim Seif, CCM wakamuingiza chaka saa hii anakutana na ukweli mchungu. Yeye na Mbatia tuliwaambia huo uchaguzi wa 2015 walipanda thamani kwa kuwa kwenye ukawa sababu ya cdm, waligoma kabisa ila saa hii hatuandikii mate.
Acha watanzania wakikatae chama cha kiislamu hicho. Maalim kagundua kuwa amefilisika kisiasa ndiyo maana akaamua kuhamia kwa dogo. Huko pia kumeanza kuwa na element za uislamuMgombea urais kupitia chama cha wananchi CUF amelakiwa na maelfu kwa mamia ya wananchi mkoani iringa katika viwanja vya mwembetogwa tarehe 14.10.2020
Duh!!!Mgombea urais kupitia chama cha wananchi CUF amelakiwa na maelfu kwa mamia ya wananchi mkoani iringa katika viwanja vya mwembetogwa tarehe 14.10.2020
Mgombea urais kupitia chama cha wananchi CUF amelakiwa na maelfu kwa mamia ya wananchi mkoani iringa katika viwanja vya mwembetogwa tarehe 14.10.2020
Mgombea urais kupitia chama cha wananchi CUF amelakiwa na maelfu kwa mamia ya wananchi mkoani iringa katika viwanja vya mwembetogwa tarehe 14.10.2020