PICHA: Putin aliishi Tanzania 1973 hadi 1977 akiwa kama mkufunzi kwa wapigania uhuru

Yah sure mara ya mwishi kusikia habar zake hawakua in good terms na Kagame na jamaa ni kama alikua under very close watch ..Kagame akishakuona unajiweza tu bas nongwa haziishi
 
Kwahiyo unataka vijana wetu wapindue nchi wakiwa na umri mdogo,unadhani kupindua nchi ni sifa positive?


 
Tanzania tuna kizali cha kutembelewa na wapambanaji mfano Malcom X ,Fidel Castro ,Che Guevara nk

Cha ajabu nchi imekithiri wizi ,ufisadi ,uvivu ,uoga umasikini na ujinga.
Kwasababu tulikuwa na mfumo wa ujamaa. Baada ya kuukubali ubepari hakuna mwamba sliyekuja TZ.
 
Ndio hapo mkuu.Kina James kabarebe wanaongoza mishen nzito nzito za kivita wakiwa t 25 yrs wnakinuisha ila m bongo at that age hata hel ya bundle changamoto
Umemjuaje huyu mvamizi wa Zaire Kabarebe was 25
 
Kwa miaka yote hiyo si ajabu anaelewa baadhi ya maneno ya Kiswahili
 
Wanamapinduzi hua hawafi haraka angalia Kagame, Museveni, Putin, nakadhalika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…