Picha: Rais Benjamin Mkapa akiingia Mahakamani kutoa Ushahidi kwenye kesi ya Ufisadi iliyowakabili Costa Mahalu na Grace Martin

Hizi hizi za mchongo? Kipindi cha Kikwete na Mkapa kidogo mahama ziliheshimiwa, ila baada ya Magufuli kuingia aliigeuza majaji kuwa machawa wa serikali na imebaki hivyo hadi leo
Sahihi kabisa. Magufuli alipoingia madarakani ndio mifumo yote ya utawala ilifubaa kwa cheo cha urais. Na huyu alipoingia akaamua kutembea humohumo kwenye njia ya Magufuli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…