Kumbuka hilosakata Jitu Kubwa alirukwa namwanzoni wakati mchakato unaanza alikwepo na yeye ndie alikua na wizara .kulikua na kabifu nahapo ya likua ni simu imepigwa ili kitu kamahiki kitokee nisiku atakayepewa u presda awe nakinyongo au ugomvi frani rejea Jiwe na JituKubwa na Matajiri jeuriView attachment 3446127View attachment 3446130View attachment 3446131
Lengo la kuweka Jambo hili hapa JF ni kukumbusha kwamba hakuna mkubwa kuliko Mahakama na kwamba ukiitwa kutoa ushahidi ni lazima ufike.
Na ndiyo maana Nyerere alisema akitokea rais mwendawazimu, kwa katiba hii, patachimbikaZamàn tulikuwa na viongozi wenye akili sana
Kwa sasa ni hamna kitu
Katiba hairuhusu.Sema Mkapa naye kiherehere chake tu hakutakiwa kwendaHata angekuwa Rais angeenda tu
Hana umwamba wowote Mkapa.Mkapa alikuwa mwamba kona kona uswahili hana mambo hayo
Ova
Kwamba alijipeleka si kweliAngelazimishwa na Mahakama ipi na ya wapi ? Nikiqoute JPM Ingawa kuna Separation of Power ila kuna Mihimili yenye nguvu kuliko mingine in short haya mambo duniani kote yapo kinadharia with a lot of loopholes na kama mtu ana nguvu atapenya tu (Ndio maana hata sasa hivi USA a they have a Convict for a President); Everything has got a loophole....
Tupe kifunguKatiba hairuhusu.Sema Mkapa naye kiherehere chake tu hakutakiwa kwenda
😆😆😆😆 kama ni hivyo si angeshitakiwa Mkapa basi, Why Mahalu?Hana umwamba wowote Mkapa.
Eti shahidi wa utetezi kahojiwa na wakili wa Mahalu. Direct exam. Hakuna Cross Exam. Ushaona wapi duniani?
Mkapa alikuwa anaishi New York, Columbia University, kabla mimi sijazaliwa. Kwa nini hawaku observe mambo yanavyokwenda wayalete Africa waimarishe utawala wa sheria kwa mfano? Sijui walikuwa hawana TV huko au wametoka Nanyumbu, Mtwara, hawaelewi kinachosemwa kwenye habari ?
Eti Rais akiidhinisha basi hakuna kesi. Maandishi yako wapi, mmeombana na kuidhinishiana kwenye simu ?
Sheria imevunjwa au haijavunjwa? We don't give a ga damn nani kakutuma na nani kaidhinisha. Waziri akimwambia Katibu, hebu piga hiyo hela, likisanuka ntakuja ku testify nilidhinisha mimi tukaagize pembejeo na sukari ya dharura. No paperwork no nothing. Kwenye simu. Wanatoboa ? Mahakama dhaifu. Bunge dhaifu. Ikulu dhaifu. Fourth Estate, waandishi, dhaifu.
Eti Mkapa akiongozana na maafisa itifaki. Wanaogopa kuandika alikuwa na mgambo wa Usalama wa Taifa.
Naam na ilikuwa kwa faida yake mwenyewe sababu mwisho wa yote ile Kesi ingekuwa yake (zigo lingemuangukia) kwahio akazima kwamba ni kweli na yeye ndio alikubalia manunuzi yafanyike hivyo likazimwa (na mwisho wa siku unamsifia / anasifiwa kwa kuheshimu mahakama) wakati ingebidi tumuweke mtu Kati kwa Ufisadi uliofanyika (alioufanya)...Kwamba alijipeleka si kweli
Naam
Aliyekuwa Rais alikuwa Kikwetehalafu nani alikuwa raisi kipindi hicho? hii nchi ili tuweze kwenda mbele ni lazima purging itokee kwanza ndiyo tubonyeze reset button na kuanza upya, bila ya hivyo kunguni hawatoisha ...
Tatizo kadiri siku zinavyokwenda ndivyo Mahakama za Tanzania zinazidi kuwa za kipumbavu na Majaji wanazidi kuwa vibaraka wa Rais.Hakuna Ujanja mbele ya Mahakama
Sababu kuu ilikuwa Kikwete kukosa mgao alipokuwa Waziri wa mambo ya njeMikataba miwili ya ununuzi wa jengo na akaunti mbili katika benki tofauti.
Waliofungua hilo shitaka walikuwa sahihi kuna jambo waliona halipo sawa.
Kwa Lissu itanyookaTatizo kadiri siku zinavyokwenda ndivyo Mahakama za Tanzania zinazidi kuwa za kipumbavu na Majaji wanazidi kuwa vibaraka wa Rais.