Picha: Rais Samia akutana na Papa huko Vatican

Picha: Rais Samia akutana na Papa huko Vatican

Huyu Papa ndio huwa hapendi pete yake ipigwe busu?
 
Hilo siyo sanduku, mambo ya pwani hayo. Ni replica (mfano) ya mlango wenye nakshi na pia kabati dogo, utaiona sana katika majumba ya mali kale Zanzibar na pwani ya Tanzania hata katika makanisa ya muundo wa kale cathedral / basilica nchi Tanzania.
Aisee...ahsante Kwa maelezo mazuri.
 
Kwani Vatican Pana nini Hadi asipange kuiba uchaguzi!?..wamejaa wafirrajji tu pale
Sasa kama kapanga kuiba UCHAFUZI ujao kwanini anajifanya kwenda Vatican and Why Now? Mwaka wa Uchafuzi mdogo na Mkubwa Mwakani.
 
Back
Top Bottom