Picha: Rais Samia akutana na Papa huko Vatican

Picha: Rais Samia akutana na Papa huko Vatican

Rais Mnafiki kuliko wote duniani! ninakungojea kama utachukua hatua kwa huyo Malyamungu wako aliyesema Mahakama isiheshimiwe!! Nakungoja wewe ulituletea mnyonya damu muuaji mtekaji afanye tena yake!!
 
Ina nikumbusha sala ya Ekarist ya I

Baba mwema,tunakusihi kwa unyenyekevu,na kukuomba kwa njia ya Yesu Kristu Mwanao, Bwana wetu,uzipokee na kuzibariki

dhabihu hizi takatifu,tunazokutolea kwa ajili ya Kanisa lako takatifu katoliki;ukubali kuliletea amani na umoja,kulilinda na kuliongoza po pote duniani;

tunakotolea piakwa ajili ya mtumishi wako Baba Mtakatifu wetu Fransis. na Askofu wetu F. Nao wote wenye kushika imani katoliki ya Mitume.

Ee Bwana, uwakumbuke watumishi wako
na wote waliopo hapa;wewe wajua imani na ibada yao .......
Hii sala nzito sana, huwa naomba Mungu ajalie nikifa isomwe mbele ya jeneza langu.
 
Hongera mama kumtembelea mzee na kupata baraka zake hasa unapoelekea uchaguz mkuu, huu utaratibu ni WA karne nyingi na viongozi duniani kote wamekua wakifika kwa papa kusalimia miaka na miaka, enzi na enzi, wewe kama mmoja wao huhitaji kubadili chochote, umetimiza kilichokuepo, wenye kusema acha waseme, maana wewe sio wakwanza na wala hutakua wa mwisho, hata hao wanaosema wakipata nafas yako, watakwenda Vatican, dunia ndivyo ilivyo na mambo yake ndo hayo.
 
Nilimsikia muumini mmoja akisema amepewa adhabu ya kusema sala ya Bikira Maria mara 40 akasema mpaka akasinzia
siyo adhabu ni Malipizi.. au tuseme fidia.. kwa kimombo "Penance"..

Kuna mapadre wanatoa hizo "Adhabu" ngumu ngumu ukienda kuungama kwao ... wengine wapo simple..
hii hupelekea baadhi ya watu kuchagua mapadre wa kuwaungamia...
 
Vatican ijitahidi kumpata muumini mpya atakayekiri kwa kinywa na moyo kuwa "Kristo ndiye njia ya kwenda kwa Baba, mtu hafiki kwa Baba bali kwa njia ya Kristo"

Tony Blair kipindi chote mpaka anakuwa Waziri Mkuu wa UK alikuwa muumini wa Angican Church. Alipomaliza uongozi wake alienda Vatican, akiwa huko huko Vatican akatangaza kuwa kuanzia siku ile yeye ni Roman Catholic.
 
Vatican ijitahidi kumpata muumini mpya atakayekiri kwa kinywa na moyo kuwa "Kristo ndiye njia ya kwenda kwa Baba, mtu hafiki kwa Baba bali kwa njia ya Kristo"

Tony Blair kipindi chote mpaka anakuwa Waziri Mkuu wa UK alikuwa muumini wa Angican Church. Alipomaliza uongozi wake alienda Vatican, akiwa huko huko Vatican akatangaza kuwa kuanzia siku ile yeye ni Roman Catholic.
Alitoka kwenye Ukristo na kuingia kwenye Ukristo!
 
Tarehe 12 February 2024 mheshimiwa Rais Samia Hassan katika msafara wake pia ameamua ataongozana na makundi ya umoja wa Wanawake Wa Katoliki WAWATA, umoja wa Vijana Wakatoliki na Halmashauri ya Walei katika mazungumzo hayo na Papa Francis, ameeleza mheshimiwa waziri January Makamba
View attachment 2901655

Pope Francis meets with President of Tanzania​

Pope Francis holds an audience with President Samia Suluhu Hassan of the United Republic of Tanzania, expressing their joint commitment to promoting peace in the world.

By Deborah Castellano Lubov
Pope Francis received the President of the United Republic of Tanzania, Ms. Samia Suluhu Hassan, in the Vatican on Monday.

Following her meeting with Pope Francis, the President met with the Vatican Secretary of State, Cardinal Pietro Parolin, accompanied by the Vatican Secretary for Relations with States and International Organizations, Archbishop Paul Richard Gallagher.

According to a statement issued by the Holy See Press Office, the discussions were "cordial" and highlighted the "existing good relations" between Tanzania and the Holy See.

In particular, they recalled "the important role that the Catholic Church plays in the country in favour of the population, especially in the charitable, educational, and healthcare spheres."

Attention, the statement noted, turned to the social context in Tanzania and "the challenges the country is required to face."
Finally, discussions focused on the regional situation and international current affairs, and both parties expressed their mutual wish for an "ever greater commitment to the promotion of peace."

The United Republic of Tanzania is in East Africa, within the African Great Lakes region.
Pope Francis meets with President of Tanzania

Pope Francis meets with President of Tanzania
Source : Pope Francis meets with President of Tanzania - Vatican News

Samia Suluhu Hassan, President of Tanzania leaves after a private audience with Pope Francis, at the Vatican

View attachment 2901659View attachment 2901660
Taarifa za aina hii huwa zinamuumiza sana FaizaFoxy na mwenzake THE BIG SHOW.

Hebu fikiria Papa kamualika Mama Vatican, na pasipo hiyana ametii wito. Ameenda kuambiwa nini na Papa; itabakia kuwa siri yake milele.
 
Mama alikuwa anasema “ hii haya masanduku ya agano la kale bado mnayo tu papa”
 
Back
Top Bottom