Picha: Rais Samia akutana na Papa huko Vatican

Picha: Rais Samia akutana na Papa huko Vatican

Rais Mnafiki kuliko wote duniani! ninakungojea kama utachukua hatua kwa huyo Malyamungu wako aliyesema Mahakama isiheshimiwe!! Nakungoja wewe ulituletea mnyonya damu muuaji mtekaji afanye tena yake!!
Duh 🙄 !
 
Hii sala nzito sana, huwa naomba Mungu ajalie nikifa isomwe mbele ya jeneza langu.
Itakusaidia nini ilhali inawezekana sasa ukiwa hai u mlevi, mwizi, mzinzi, muongo, mfiraji, mlawiti, muabudu sanamu, muuaji n.k. Sala za Marehemu hazisaidii kitu, ukiwa hai ndio wakati wa kutengeneza na Mungu wako. Chukua hatua sasa kwani kesho ni fumbo na umilele wako umekaribia.
 
siyo adhabu ni Malipizi.. au tuseme fidia.. kwa kimombo "Penance"..

Kuna mapadre wanatoa hizo "Adhabu" ngumu ngumu ukienda kuungama kwao ... wengine wapo simple..
hii hupelekea baadhi ya watu kuchagua mapadre wa kuwaungamia...
Padri anatoa adhabu.

Uhuni huu sasa
 
Msiba unaendelea huku wewe unasema tarehe 17
Si umemuomba awahi Msiba, sasa tukizika tarehe 17/02/24 atakuwa hajawahi Msiba au unataka awepo hapo siku Zote mpaka siku ya Mazishi. Huyu ni Raisi wa Nchi anapokwenda na kutoka mahali kuna taratibu zake.
 
Itakusaidia nini ilhali inawezekana sasa ukiwa hai u mlevi, mwizi, mzinzi, muongo, mfiraji, mlawiti, muabudu sanamu, muuaji n.k. Sala za Marehemu hazisaidii kitu, ukiwa hai ndio wakati wa kutengeneza na Mungu wako. Chukua hatua sasa kwani kesho ni fumbo na umilele wako umekaribia.
Sala ya Ekaristi sio Sala ya wafu, ni Sala ya shukrani. Elewa maana ya jambo kabla ya kuliparamia na pale usipoelewa uliza au kaa kimya kulinda heshima yako.
 
Taarifa za aina hii huwa zinamuumiza sana FaizaFoxy na mwenzake THE BIG SHOW.

Hebu fikiria Papa kamualika Mama Vatican, na pasipo hiyana ametii wito. Ameenda kuambiwa nini na Papa; itabakia kuwa siri yake milele.

HATA AAMBIWE NAMNA GANI,HATAPATA RUHUSA YA KUUBARIK USENG.E NDANI YA TAIFA HILI,HATA YESU AFUFUKE HAITAWEZEKANA SISI KUFANYA SODOMY..!!
 
Sala ya Ekaristi sio Sala ya wafu, ni Sala ya shukrani. Elewa maana ya jambo kabla ya kuliparamia na pale usipoelewa uliza au kaa kimya kulinda heshima yako.
Waache usiwapa muda wako--Protestants wamehangaika kwa karne 20 kubomoa kanisa moja katoliki na la kitume wamefail wameungana na dini zote! wakumbuke alianzisha Yesu Kristo Mwenyewe wakaasi na alideclare "Hata Milango ya Kuzimu haitalishinda"
 
Taarifa za aina hii huwa zinamuumiza sana FaizaFoxy na mwenzake THE BIG SHOW.

Hebu fikiria Papa kamualika Mama Vatican, na pasipo hiyana ametii wito. Ameenda kuambiwa nini na Papa; itabakia kuwa siri yake milele.
Mimi Muislam wewe, msome Mtume Muhammad *SAW) utaelewankua hata mkewe mmoja Maria Kibtia alipewa zawadi na mkubwa wa kanisa.

Uiskam hauna uadui na yeyote, ni dini ya amani, wajinga kama wewe ndio hamjiielewi.
 
Back
Top Bottom