FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Ulitaka adiende nna yeye kaalikwa na Papa?Huo mkufu kwenye hilo boksi lenye nembo ya Taifa ndio mama kampelekea Papa kama zawadi?
Na ziara hii kama nchi tunanufaika vipi?
Muulize Papa atafaidika nini, kumualika mama Samia.