Picha: Rais Samia akutana na Papa huko Vatican

Rais Mnafiki kuliko wote duniani! ninakungojea kama utachukua hatua kwa huyo Malyamungu wako aliyesema Mahakama isiheshimiwe!! Nakungoja wewe ulituletea mnyonya damu muuaji mtekaji afanye tena yake!!
 
Hii sala nzito sana, huwa naomba Mungu ajalie nikifa isomwe mbele ya jeneza langu.
 
Hongera mama kumtembelea mzee na kupata baraka zake hasa unapoelekea uchaguz mkuu, huu utaratibu ni WA karne nyingi na viongozi duniani kote wamekua wakifika kwa papa kusalimia miaka na miaka, enzi na enzi, wewe kama mmoja wao huhitaji kubadili chochote, umetimiza kilichokuepo, wenye kusema acha waseme, maana wewe sio wakwanza na wala hutakua wa mwisho, hata hao wanaosema wakipata nafas yako, watakwenda Vatican, dunia ndivyo ilivyo na mambo yake ndo hayo.
 
Nilimsikia muumini mmoja akisema amepewa adhabu ya kusema sala ya Bikira Maria mara 40 akasema mpaka akasinzia
siyo adhabu ni Malipizi.. au tuseme fidia.. kwa kimombo "Penance"..

Kuna mapadre wanatoa hizo "Adhabu" ngumu ngumu ukienda kuungama kwao ... wengine wapo simple..
hii hupelekea baadhi ya watu kuchagua mapadre wa kuwaungamia...
 
Vatican ijitahidi kumpata muumini mpya atakayekiri kwa kinywa na moyo kuwa "Kristo ndiye njia ya kwenda kwa Baba, mtu hafiki kwa Baba bali kwa njia ya Kristo"

Tony Blair kipindi chote mpaka anakuwa Waziri Mkuu wa UK alikuwa muumini wa Angican Church. Alipomaliza uongozi wake alienda Vatican, akiwa huko huko Vatican akatangaza kuwa kuanzia siku ile yeye ni Roman Catholic.
 
Alitoka kwenye Ukristo na kuingia kwenye Ukristo!
 
Taarifa za aina hii huwa zinamuumiza sana FaizaFoxy na mwenzake THE BIG SHOW.

Hebu fikiria Papa kamualika Mama Vatican, na pasipo hiyana ametii wito. Ameenda kuambiwa nini na Papa; itabakia kuwa siri yake milele.
 
Alitoka kwenye Ukristo na kuingia kwenye Ukristo!

Yassar Arafat alitoka kwenye uislam akaingia kwenye ukristo.

Yasser Arafat 'Found Jesus' Before He Died, Wept While Watching 'The Passion of the Christ,' Says Evangelical Friend.
 
Mama alikuwa anasema “ hii haya masanduku ya agano la kale bado mnayo tu papa”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…