Picha: Rejeta yangu inamwaga maji kwa presha

Picha: Rejeta yangu inamwaga maji kwa presha

Yale maji ukifungua mfuniko yalivyo ya moto umekwisha, hata kwenye gari inayochemsha kufungua mtu unachukua spana ya kufungua tairi na chuma cha jeki. Unatumia hivyo kuuzungusha na baada ya kuuweka wazi, unarudi chuma fasta sana
siku moja gari ilizingua taa sasa nikashuka kuangalia why haiwakii... aisee kumbe huwa zinapata moto balaaa wee niliungua kidolee nikasema nishikie tshirt nayo shwaa duuh 😀 😀 😀
 
Back
Top Bottom