and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,477
- 40,278
Watu duniani wanapambania Teknolojia Sisi tupo bize na draftiUjinga wa jitu jeusi upo hapa
Watu duniani wanapambania Teknolojia Sisi tupo bize na draftiUjinga wa jitu jeusi upo hapa
Huyo Sisco aliambiwa na mkulima wa playok online, kuwa kwenye michezo 24 oj na tege atafute sare 24, azuie asifungwe, Sisco alikufa 2-0
Hata saiya tu kwenye mechi 24 anamfungaga Sisco, kinachomfanya Ronaldo amuogope Sisco sijui ni nini, sijui kwenye madraft wanalogana
Huwezi kukosa wa kucheza nao.Raha ya draft usilijue sana Maana ukilijua sana utakosa watu wa kucheza nao ,lijue wastani tu.
Una miaka mingapi?Watu duniani wanapambania Teknolojia Sisi tupo bize na drafti
Wa wapi huyu mangwalele Daslamu!Kama ulishawahi kutazama game zake either physically au online bila shaka utakiri huyu jamaa ni mchawi kama sio jini kabisa.
Jamaa anakufunga anavyotaka yeye, yani kuna ile game unaona kabisa imeisha ila jamaa hataki kumaliza ,atataka akufunge ki ladha kiasi kwamba hata wewe unayefungwa utafurahi goli utakalo fungwa.
Mwanafunzi wake anayekuja kwa kasi kwa sasa ni dogo Shukuru.View attachment 3396277
Lakini kwa sasa kuna ujio wa dogo Sisco, huyu kijana anasumbua sana, sidhani kama kuna bingwa yeyote hapa TZ atatoboa kwa huyu dogo .
Labda kama mkongwe Mangwelele angeamua kurudi kwenye michezo kumnyamazisha huyu kijana. Nina uhakika donge nono lingewekwa kati yao na si ajabu Sisco angeushangaza ulimwengu.
View attachment 3396285
Japo siku hizi nacheza tu CHESS lakini enzi zangu(primary school na secondary schoo era) sikuwa nikifungwa na yoyote hata kwenye clubs maarufu za DRAFT mpaka na kipindi nilikuwa natoroka naenda na uniforms kuwakalisha wanaoitwa mabingwa, nilikuwa natafutwa akitokea mtu anayeonekana hafungiki. That was back then, some decades ago.Kama ulishawahi kutazama game zake either physically au online bila shaka utakiri huyu jamaa ni mchawi kama sio jini kabisa.
Jamaa anakufunga anavyotaka yeye, yani kuna ile game unaona kabisa imeisha ila jamaa hataki kumaliza ,atataka akufunge ki ladha kiasi kwamba hata wewe unayefungwa utafurahi goli utakalo fungwa.
Mwanafunzi wake anayekuja kwa kasi kwa sasa ni dogo Shukuru.View attachment 3396277
Lakini kwa sasa kuna ujio wa dogo Sisco, huyu kijana anasumbua sana, sidhani kama kuna bingwa yeyote hapa TZ atatoboa kwa huyu dogo .
Labda kama mkongwe Mangwelele angeamua kurudi kwenye michezo kumnyamazisha huyu kijana. Nina uhakika donge nono lingewekwa kati yao na si ajabu Sisco angeushangaza ulimwengu.
View attachment 3396285
Draft ni Hesabu,apige Hesabu za kuvumbua kitu,hapo kuna la Maana!maskini nchi hii kumbe ni masikini.
Sasa anataka tuongee kitu ambachi hatuna!,Uko sahihi Mkuu!Sawa.
Huu siyo ujinga bali ni mchezo mzuri sana. Ilibidi kuwe na mashindano ya kitaifa na waonyeshe live.Ujinga wa jitu jeusi upo hapa
Wapeni game tumlete Samia kwenye ufunguziView attachment 3396328
CR7 anataka milioni 8 ili acheze na Sisco, jamaa akisikia kwenye mashindano Sisco yupo hatokei.
Kucheza draft siyo umaskini. Kmataifa kuna mchezo kama chess, darts unatajirisha na kuburudisha watu wengi.maskini nchi hii kumbe ni masikini.
Hivi Bongo hakuna mashindano ya kitaifa na yawe yanaonyeshwa live kwenye TV? Hii ingevutia watu wengi.Kuna jamaa anajiita Mwita au Nyamongo huyu ni hatari
Kwa Tanzania anasema yeye ndiye bingwa wa French lakini ata hili draft la kawaida anacheza
Akicheza na Sisco sidhani kama Sisco anaweza kumfunga
Mangwelele kwa mtu anayefuatilia drafti kwa kina lazima awe anamfahamu, ni LAZIMA.Wa wapi huyu mangwalele Daslamu!
Mawazo yake,ila hakuna michezo kuwa wa kijinga!Kucheza draft siyo umaskini. Kmataifa kuna mchezo kama chess, darts unatajirisha na kuburudisha watu wengi.
Mashindano ya kitaifa yapo na wadhamini huwa wanajitokeza.Hivi Bongo hakuna mashindano ya kitaifa na yawe yanaonyeshwa live kwenye TV? Hii ingevutia watu wengi.
Sifuatili kwa Sasa nitaanza, maana Huwa nafungwa!Mangwelele kwa mtu anayefuatilia drafti kwa kina lazima awe anamfahamu, ni LAZIMA.
😂😂😂😂😂😂😂😂maana Huwa nafungwa!
Tea masalaKama ulishawahi kutazama game zake either physically au online bila shaka utakiri huyu jamaa ni mchawi kama sio jini kabisa.