Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,968
- 36,044
- Thread starter
- #61
Fundi kabisa.
nakaziaHivi online unacheki vipi mechi zao nikachukue mitego
Yule wa SLADS?Bagamoyo kuna dogo janja alikuwa anaitwa james aisee sijui ila jamaa nyoko
Ushawahi sikia habari za kasikio?Kuna jamaa anajiita Mwita au Nyamongo huyu ni hatari
Kwa Tanzania anasema yeye ndiye bingwa wa French lakini ata hili draft la kawaida anacheza
Akicheza na Sisco sidhani kama Sisco anaweza kumfunga
Mwita anapatikana wapi?Mwita ni mchezaji mzuri wa french.....lakini sio namba moja Tanzania, kwa hiyo hiyo french yake kule Kanda ya ziwa Kuna miamba kumzidi yeye akina kasikio etc...
Kwa British...asikudanganye mtu Sisco, huyo mwita hana uwezo wa kupata sare tu....kwanza hata mwita mwenyewe hawez kubali kucheza na Sisco....
Sisco ni tishio kwa sasa.Huyo Sisco nimemshudia live pale morogoro alimchakaza fundi mwenzake mpaka watu wakamshangilia gemu 25 alimuotea moja zingine droo
HapanaUshawahi sikia habari za kasikio?
Au sioNimepumzika kucheza draft mnatangaza mfalme mpya? Ngoja nirudi
Mwita anapatikana wapi nikampasueHapana
Sio chai mkuu, ni kweli tupu, one day nilishuhudia mmoja wa matulatula toka Manyanya akicheza draft, hawa jamaa noma sana, yani wamekariri madrafti, wamekariri kila kete kwa zile za mbele zote, ukiaanza tu washajua waanze na kete gani wakufunge na wana majina ya game kwa kila kete utakayoanza, shida kidogo kwao ni wao wakianza kucheza draft ukipambana unaweza kupapatua japo droo! Hawa jamaa hawafungiki ni kama wachawi flani. Ukicheza nao ushindi wako ni droo tu, unapigwa tano bila labda na droo moja au mbili!!Chai
Tula ni mtu asiye jua drafti.Sio chai mkuu, ni kweli tupu, one day nilishuhudia mmoja wa matulatula toka Manyanya akicheza draft, hawa jamaa noma sana, yani wamekariri madrafti, wamekariri kila kete kwa zile za mbele zote, ukiaanza tu washajua waanze na kete gani wakufunge na wana majina ya game kwa kila kete utakayoanza, shida kidogo kwao ni wao wakianza kucheza draft ukipambana unaweza kupapatua japo droo! Hawa jamaa hawafungiki ni kama wachawi flani. Ukicheza nao ushindi wako ni droo tu, unapigwa tano bila labda na droo moja au mbili!!
Wana madrafti kwenye cm zao jinsi ya kucheza kila kete ya mbele hadi mwisho!! Wanatumiana wao kwa wao au wakiona unajua wanakuingiza kwenye genge lao.
Ukicheza nae ukatoa droo analipanga draft upya mbele yenu na kucheza yeye peke yake pande zote mbili yako na yake kuanzia mlipoanza na hadi ajue alipokosea ukachomoka, akishindwa kujua alipokosea anapeleka huo mchezo kwa matulatula wenzake kina Mangwelele , Issa Mamba, Sisco na yuko mwingine sijui tula Noeli huko Manyanya yaani ukitoa droo inageuka vita kubwa kwao.
😅😅😅Raha ya draft usilijue sana Maana ukilijua sana utakosa watu wa kucheza nao ,lijue wastani tu.
Ule ni utani tu maana tula ni kauli wanayokuwa wanaisema wakati ukicheza nao!Tula ni mtu asiye jua drafti.
Hao uliowataja wote mabingwa.
Huyo mwingine anaitwa Noel Alex Namaloe.