msukuma fekero
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 2,423
- 3,270
Huyu jamaa hatari sanaView attachment 3446901
Fundi kabisa, wanamuita Shabani Ngapu.
Huyu jamaa hatari sanaView attachment 3446901
Fundi kabisa, wanamuita Shabani Ngapu.
Tula ni sawa na mtu akuite kibonde au tutusa.Ule ni utani tu maana tula ni kauli wanayokuwa wanaisema wakati ukicheza nao!
Hatari na nusu huyo.Huyu jamaa hatari sana
KabisaInabidi huu mchezo upewe nafasi
ChaiNakubaliana na wewe.