Picha: Said Othman Mangwelele a.k.a mchawi wa drafti wa muda wote


CR7 anataka milioni 8 ili acheze na Sisco, jamaa akisikia kwenye mashindano Sisco yupo hatokei.
 
Wa wapi huyu mangwalele Daslamu!
 
Japo siku hizi nacheza tu CHESS lakini enzi zangu(primary school na secondary schoo era) sikuwa nikifungwa na yoyote hata kwenye clubs maarufu za DRAFT mpaka na kipindi nilikuwa natoroka naenda na uniforms kuwakalisha wanaoitwa mabingwa, nilikuwa natafutwa akitokea mtu anayeonekana hafungiki. That was back then, some decades ago.
Uzuri wa CHESS unajifatutia tu random opponent online mnachuana japo wengi wa wanaopatikana mara nyingi ni beginners ingwa kuna better choice ya kupambana na computer kwani kwenye GRANDMASTER level unachangamsha kichwa.
 
Kuna jamaa anajiita Mwita au Nyamongo huyu ni hatari
Kwa Tanzania anasema yeye ndiye bingwa wa French lakini ata hili draft la kawaida anacheza
Akicheza na Sisco sidhani kama Sisco anaweza kumfunga
Hivi Bongo hakuna mashindano ya kitaifa na yawe yanaonyeshwa live kwenye TV? Hii ingevutia watu wengi.
 
Tea masala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…